Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Asikwambie mtu JAMAN hili n janga la taifa kama sio dawa sugu
YAAN wengine wake zetu wanapiga maombi mpaka basi na wanavyoongeza maombi na Hawa NDUGU small house wanaongezeka
Mwenye kujua maombi maalum ya kupunguza ama KUONDOA NYUMBA ndogo tujuzane pls hapa
Tupige tobaaa