Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Hakika, lakini ni vyema kuona maoni ya wengine ili kuongeza palipo pungua.Ulichokiwaza kifanye , miluzi mingi humpoteza mbwa.
Biashara inahitaji zaidi udhubutu wa kufanya kuliko ushauri wa wadauHakika, lakini ni vyema kuona maoni ya wengine ili kuongeza palipo pungua.
Wapo wanauza ambazo ni used, maeneo ya kimara yupo mchina anauza hizo machine.Sijuagi kwamba hizo mashine za kichina zinauzwaga, mi nnachojua wanazimiliki wenyewe wewe wanakupa tu kamishen yako
Kweli kabisa kaka, Mimi ni mchezaji wa pool table hivyo kilasiku naona namna watu wanavyoweka pesa nyingi kwenye pool.Pool table liko vyema zaidi, kama kuna sehemu wana kijiwe cha fegi na tungi na pame changamka basi parukie.
Kuna la 200/500 ina tegemea na aina yako ya wateja, kila mzunguko mmoja ni token1 ya kucheza.
ukipata master pool mjanja basi utazidaka, maana ata hamasisha wacheze game za aina nyingi.
I mean no malice to nobody.
Sahihi, mpaka nimewasilisha wazo hili tayari ninao uthubutu na mipango, nimeomba maoni ya wengine Kwa lengo la kujifunza na sio kupata ruhusa.Biashara inahitaji zaidi udhubutu wa kufanya kuliko ushauri wa wadau
Ngoja wajeSahihi, mpaka nimewasilisha wazo hili tayari ninao uthubutu na mipango, nimeomba maoni ya wengine Kwa lengo la kujifunza na sio kupata ruhusa.
basi hiyo ni nzuri unakula hela kiulaini tu hata mi nayataka hayo, sijui yana bei gani?Wapo wanauza ambazo ni used, maeneo ya kimara yupo mchina anauza hizo machine.
kama una mishe nyingine, basi na support uanzishe hapo ili u gain wateja na kuusoma mchezo kwa kadri inavyo kua.Kweli kabisa kaka, Mimi ni mchezaji wa pool table hivyo kilasiku naona namna watu wanavyoweka pesa nyingi kwenye pool.
Na sehemu ambayo nimeichangua hakuna pool kabisa, hivyo Nina Imani wateja watakuwa wengi.
siku shauri hayo ma dubwi, peaky yake imesha pita mchina sio fala.Wapo wanauza ambazo ni used, maeneo ya kimara yupo mchina anauza hizo machine.
Mbona kilasiku yanaongezeka na watu wanacheza, Jana tu nimeona jamaa kaliwa laki tatu kwenye dubwi Moja.siku shauri hayo ma dubwi, peaky yake imesha pita mchina sio fala.
Hakuna mchezo haramu kati ya hiyo niliyotaja.Watarajie serikali za mitaa na mapolisi kuwa wageni wako sometimes, sikutishi ila waweke kwenye mkakati.
Wekeza kwenye hobby yako huwa anasema Liverpool VPN
Kuna mchina anauza Moja milioni tatu, kumbuka Kwa mwezi linaweza kuleta faida ya zaidi ya laki tano.basi hiyo ni nzuri unakula hela kiulaini tu hata mi nayataka hayo, sijui yana bei gani?
Mzee biashara hesabu katika ma5 ni 001 ndio hayo top, hayo mengine mpaka shillingi ziishe si Leo.Mbona kilasiku yanaongezeka na watu wanacheza, Jana tu nimeona jamaa kaliwa laki tatu kwenye dubwi Moja.
Utafiti nimefanya Kwa zaidi ya miaka Sasa, pia nitaiweka sehemu ambayo Mimi binafsi ni mzaliwa/mwenyeji wa sehemu hiyo.kama una mishe nyingine, basi na support uanzishe hapo ili u gain wateja na kuusoma mchezo kwa kadri inavyo kua.
Pafanyie utafiti, piga story na masela wa mtaa ujue usalama, vurugu, na usome mazingira ya biashara yako.