Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bob nime kuita mara 3, mpiganaji husifiwa vitani sio nyumbani.pia nitaiweka sehemu ambayo Mimi binafsi ni mzaliwa/mwenyeji wa sehemu hiyo.
Bob nime kuita mara 3, mpiganaji husifiwa vitani sio nyumbani.pia nitaiweka sehemu ambayo Mimi binafsi ni mzaliwa/mwenyeji wa sehemu hiyo.
Nimekuelewa mkuu, huu ndiyo mwanzo tu lakini lengo ni kufikia hatua za juu na uwekezaji mkubwaBetting & Gambling sikushauri
Maybe hicho kijiwe Cha pombe Kali,pisi Kali, location Kali
Yani pawe sehemu flan hivi ya bata
Tutazidi kupeana uzoefu mkuu, ni vyema nimeona unayo experience naamini tutapeana ushauri zaidi.Hongera mkuu kwa ku paste biashara yng hii nliiweka humu jana tu kwny uzi mmoja humu jns ambavyo nlipga hela uko nlikokuwa wenyeji wakaona wivu, umesahau na tv plus azam king'amuzi humo. NB: hii ni biashara ya ww mwnyw kusmamia otherwise utaula wa chuya. nakuongezea kama kuna nafas pemben tafuta warembo wawili waweke maziwa ya moto na chapati, supu asbh mchana wapke ugari nyama choma hasa ukpata nyama ya mbuzi. KAMA UTAHITAJI MSAADA ZAIDI NIJUZE....hasa khs pombe kali namna ya kuchakachua upge pesa mi nlikuwa nasmamia mwnyw japo nlikuwa sichez table ila ni refa wa viwango vya kmataifa, khs machine dubwi skushauri ununue we kodisha tu kwa wachina wakupe na mtaji wao bs..otherwise karibu huu ni bonge ya mradi ungekuwa uku nlipo bs tungeshrikiana.
Mimi nimewaza fursa, sio wazo la kuzulumu au kutapeli watu.Samahani kidogo, natoka nje ya mada...
Kupitia mabandiko yako ya zamani, nimekuwa nikikuona kama mtu flani mshika dini.
Je, unaziendeshaje hizi biashara ili ziendane na mafundisho ya kidini?