Maombi yatawala nyumbani kwa Lulu

maombi kama hayo ni muhimu angefanyiwa Rais Makufuli kama alivyo-tuasa Watanzania tumuombee...Rais bora zaidi kwa sasa barani Africa.
 
Acha kuhukumu Mkuu we umefanya dhambi ngapi?? Na je umemuomba Mara ngapi akakusikiliza?? Ni vile tu sio maarufu lkn ukute Una dhambi kubwa zaidi ya lulu .. Muache Mungu afanye Kazi yake usimuingilie
Sijahukumu,wala sijasema sina dhambi,ukifanya Dhambi kwa siri Mungu atakuhukumu kwa siri,na ukifanya Hadharani atakuhukumu hadharani.Sina uwezo wa kuingilia kazi za Mungu nitake Radhi.Huyu mtu alipotoka gerezani si aliokoka?alipohisi yameisha aliendelea na wokovu wake?Kama sisi tumeona je Mungu hajamuona?Mungu sio Mjinga mkuu.Anaona wanaomdhihaki na wanaomjali!Ni heri ufanye dhambi tuuuu miaka ishirini but when you Repent,Repent sincerely.Imagine mwanao anafanya kosa kisha anakuomba msamaha,then anarudia kosa lile lile anaomba msamaha unamsamehe,then anarudia kosa lile lile utamsamehe tena?Its not right hata kama umepewa chance 490.
 
Huyu afungwe tu angalau hata miaka 5 au 8 tupumzike huku mtaani
 
Si Lulu, si Mama yake, si ndugu zake, kila mmoja anaomba kwa muda wake, wakati mwingine kwa pamoja, au mmoja mmoja, wanachojua wao hatima ya kila kitu ipo mikononi mwa Mungu, ndiyo maana sala zinaelekezwa kwake,”
Too late!maombi yalitakiwa kuanza tokea siku alioua,Mungu pia anasikia maombi na kilio cha mama wa marehemu
 
Huyu amefuata mikate na samaki wa miujiza jangwani, hakufuata kusikiza neno.
 
Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Eti Ukahaba ule!, wewe ni miongoni mwa wateja wake mjomba?
 
Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Bahati nzuri haukuwa Mungu...Yeye hana muda hata kama unamkaribia nyakati za mwisho kama yule mwizi msalabani alietubu akaahidiwa peponi Luka 23:43

Alipokea hata watoza ushuru na makahaba,hongera mwenzetu msafi kwa sababu unaweza kujudge kabla hata ya Mungu

Wicked people God is for us not for the righteous...Mathayo 9:13
 
Neno la MUNGU katika Mathayo 7:8 na Luka 11: 10 linasema: kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Jambo la kuomba kwa MUNGU ni muhimu wana JF haijalishi wewe uko katika hali gani, uko katika magumu gani, katika Raha gani yote kwa yote mwombe MUNGU kwa imani naye atakujazi.
 
She is beautiful indeed!!!!
 
 
ILA KATOTO KAMEUMBIKA HATARI.. LULU MREMBO, ILA UMALAYA UNAHARIBU SIFA YAKE.

KILA LA HERI LULU. UFUNGE UACHE DHAMBI, NA UKIRUKA KIUNZI BADILIKA, HAKUNA ZAWADI YA UMALAYA ZAIDI YA UKIMWI, UGUMBA, KUJIHARIBU NA KUCHUMA DHAMBI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…