FarryDeGreat
Member
- Oct 18, 2017
- 5
- 1
Bravo Bravo...... UmenenaMungu si mwanadamu. Mungu anafurahi mkosefu anapoiacha njia yake mbaya na kumrudia Mungu. Pia wakati wa shida ndo wakati haswa wa kumrudia Mungu maana Mungu hashughuliki na mambo yanayowezekana kwa mwanadamu bali anashughulika na mambo yaliyo nje ya uwezo wa Mwanadamu. Tusimhukumu mtu, kazi ya kuhukumu ni ya Mungu.