Maombi yatawala nyumbani kwa Lulu

Maombi yatawala nyumbani kwa Lulu

Mungu si mwanadamu. Mungu anafurahi mkosefu anapoiacha njia yake mbaya na kumrudia Mungu. Pia wakati wa shida ndo wakati haswa wa kumrudia Mungu maana Mungu hashughuliki na mambo yanayowezekana kwa mwanadamu bali anashughulika na mambo yaliyo nje ya uwezo wa Mwanadamu. Tusimhukumu mtu, kazi ya kuhukumu ni ya Mungu.
Bravo Bravo...... Umenena
 
Nahisi ana act hata kule mahakamani inawezekana ni movie wanataka kutoa nini?Yule akiambiwa anaenda miaka 15 jela ndio akili zitafunguka,lakini hivi hivi,she will never change.
Kule kuvaa madera na vilemba
 
MTOTO AMEANZA KICHIGI JIGI MDOGO, JERA INAMHUSU, UMEUWA AFU UNAHITAJI MSAMAHA,
 
Mungu amuepushe maana kalivyokuwa kadogo wakati ule ni dhahiri hakukusudia kuua.
 
Kama kweli anamaanisha huko kuomba Mungu lazima amsikilize na amuokoe kwenye huo mdomo wa mamba. Kwani Mungu wetu hana upendeleo
 
Lulu 2004.jpg
Lulu 2004.jpg
Mungu anatoa wakati wowote ila ni vyema zaidi ukafanya maombi kila leo na si kipindi cha shida tu by the way Mungu atakusimamia kwa hili jela si kitu kizuri mbaya zaidi kwa maisha ulioyazoe Lulu hata mwezi mmoja gerezani ni mkubwa sijui wale jamaa wakikupa mvua ya aka 10,20 au 30...itakuwaje ?
Lulu ni mcha Mungu na muo
mbaji asiyechoka!!m
cheki
 
Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Makaaba majambazi wauaji na walevi watakuwa viti vya mbele katika ufalme wa Mungu, yahani watakuwa meza kuu.
 
Back
Top Bottom