evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Usimhukumu san mkuu tumwache Mungu atatenda hakiMungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?
Mwee!!Kuuwa bila kukusudia anaweza kujikuta anatumikia kifungo cha miaka 10 mpaka 15 jela.
Kwa kifupi ni kwamba anatakiwa akae kwenye maombi ya toba!Yohana 9:31 inasema, “Tunajua kwamba Mungu hawasikilizi watu wenye dhambi. Yeye husikiliza mcha Mungu anayetimiza mapenzi yake.“ Na pia imesemekana kwamba “sala tu Mungu anasikia kutoka kwa mwenye dhambi ni sala kwa ajili ya wokovu.” Kwa madhumni hayo, , baadhi ya wengine huamini kuwa Mungu hawasikizi / au kamwe hajibu maombi ya asiyeamini. Kwa mkudhatha ingawa, Yohana 9:31 inasema kwamba Mungu hatendi miujiza kupitia kwa asiyeamini. Kwanza Yohana 5:14-15 inatuambia kwamba Mungu anajibu maombi kama yameombwa kwa mujibu wa mapenzi yake.
Kama kweli hakuhusika kwy kilichomtokea Kanumba she will be safe,hila kama ndy chanzo cha kifo....hata mahakama ikisema yupo huru hana hatia KARMA haita muacha salama....ile DAMU ya Kanumba itamfuata kwy maisha yake na kizazi chake,ndy anaweza kuja kukuta mumewe au mtoto wake nae anakufa kwy mazingira kama hayo ya Kanumba nk nk!View attachment 621810
Zikiwa zimesalia siku 12 tu kabla ya hukumu yake kusomwa kufuatia kesi yake ya kuua bila kukusudia inayomkabili, taarifa zinasema maombi na sala zimekua zikitikisa nyumbani kwa msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mtu wa karibu wa msanii huyo alilidokeza , baada ya kesi hiyo kufikia katika hatua ya hukumu, hivi sasa kila siku maombi yanafanyika asubuhi, mchana na jioni, kwani kwa hali ilivyo hivi sasa, kila kitu kimo mikononi mwa Mungu.
“Si Lulu, si Mama yake, si ndugu zake, kila mmoja anaomba kwa muda wake, wakati mwingine kwa pamoja, au mmoja mmoja, wanachojua wao hatima ya kila kitu ipo mikononi mwa Mungu, ndiyo maana sala zinaelekezwa kwake,”
Lulu anashtakiwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia, aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba, katika tukio lililotokea nyumbani kwa msanii huyo, Sinza Vatican mwaka 2012.
Baada ya kusikilizwa kwa ushahidi wa Jamhuri, upande wa utetezi na wazee wa mahakama, sasa hukumu hiyo itasomwa Novemba 13, mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Jaji Sam Rumanyika.
Nilimuona juzi hapa,october kwenye mkutano ya mwal.Mwakasege dar na dela lakeKule kuvaa madera na vilemba
Kwa muongozo anapaswa asome kitabu cha Zaburi 51Kwa kifupi ni kwamba anatakiwa akae kwenye maombi ya toba!
Toba ya kilichotokea,kilichofingua mlango wa yy kuhusika na hilo tukio ! Toba tu ndo itamtoa!
Ss sijui km ana huu ufahamu,hapo kukemea ,kukataa,kubatilisha wala hakutamtoa zaidi ya toba!
Kwani aliyoyafanya ni mazuri...? Acheni unafiki.Haki lazima itendeke....!Acha yatawale katika kipindi kigumu mungu hukumbukwa sana
kafanyaje bna wewe..kanumba alikula Viagra akachanganyaa na grant..vikamzidiKwani aliyoyafanya ni mazuri...? Acheni unafiki.Haki lazima itendeke....!
Ndo kanaelekea kiumeni muda c mrefuMaskini ka binti kale!
Wa mwisho watakuwa wa kwanza n vise versaNipe maandiko.
Nimecheka sanaNdo kanaelekea kiumeni muda c mrefu
Halafu akishamuokoa anarudia maisha ya shetani. Dunia hiiAcha yatawale katika kipindi kigumu mungu hukumbukwa sana
Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi ili wapate kutubu.Mungu hachezewi,ukiwa huna shida humjui unamjua ukiwa na shida?Maombi yapi na ukahaba ule anaofanyaga?Kwanza si alitangaza kuokoka kipindi ametoka mahabusu?Mbona hakuonyesha kuendelea?