Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Yaaan mwezi huu tu NIMEONA watu zaidi ya kumi wamejinyonga
Hivi majuzi dk swai nae kajinyonga pale Moshi
Nduguyetu Ronaldo mfanyabiashara WA Moshi msaranga nae KAJIUA
Leo nimeangalia taarifa ya habari watu wawili TOFAUTI
Wamejiua
Nawazaa waliojinyonga nkakutana na mtoto kamuua babayake kamdumbukiza choon
Mda sasaa WA watumishi wa Mungu kuelimisha watu somo la afya ya akili makanisani hali si nzuri kabisaaaaaaaaa
Haitoshii tuendelee kuombeana sana SANA hii hali sio nzuri na hujui kwako inakuja liniii
Umenikumbusha 2005 miezi kadhaa nilikuwa nasuguana na bmkubwa sielewi tatizo akirudi MANENO nkimkwepa MANENO
Sikumoja nkaamka sasa nanr usiku nimeacha gari nyumban natembea kwa mguu Toka kmr mwisho KUFIKA KOROGWE jamaa MMOJA akanisimamisha nkajua wahuni br mbona unatembea haraka hivyo NKAMWAMBIA nawahi
akasema panda basi chukua nauli
sipandi jashoo linantoka kama ninepanda mlima Kilimanjaro aisee nkanza kuliaaa
wewe akaniambia kakae pale na kakazako sema shida aisee...NDIE aliniokoa nililiaasanaa wakati nawaza kuvuka gari inipitie nilipopona siku Ile mwezi ujao nkaona MBELE n kifo nkahitimisha zoezi la ndoa MAHAKAMAN
Hayamambo sikia kwa watu
Ninapona matukioo nawaza mengi sana na kuanzia Leo
Naanza kufanya maombi saanane wale wote waaliojipanga kujiuaaa
Mungu akawaondolee shida ZAOO na hayo mawazoo yasiwepo tenaa
Mungu tusaidie
Rahayamilele uwapee EE BWANA MWANGA WA MILELE uwaangazie wapumzike kwa Amani
Amen