Swa mkuuHuyo ni mama Beira boy
Dodoma unapajua kweli mkuu iv kuna fastjet ya Dodoma to iringa kweli
Unaenda na gar ganAman iwe nanyi wapendwa
Kesho Nina safari ya kwenda iringa safar Yangu itaanzia Dodoma saa kumi na mbili asubuh. Maombi yenu jaman nifike salama na nirud salama.
Moyo wangu unasita sana kwa hii safari ya kesho sijui ni kwanini aisee. Yaan moyo Wang umejawa wasiwasi sijui kama nini yaan aisee
Maombi yenu wakuu. Mbalikiwe sana
AMINA
LONDON BOY
Hapo lodge make sure unalala na totoz,tena lenye chura.Onesha uwezo wa wanaume wa mkoani namna tulivyo,kamata totoz ya dar ipige kazi hadi hadi itukanie wanaume wao wa dar!!
Upo wap mkuu mi nipo dom hapa nataka nikupe kampan na pesa ya kula njian huwa unatufurahisha Sana hapa jukwaanAsante sana kiongoz mungu akubalik sana
Sema faster nakuja kukuchukua na usafir wangu tule bata kwanza ksh usafir kwa furahaAsante sana kiongoz mungu akubalik sana
Ok hapo kwa jamaa yang Sana anaitwa FM mi nipo hapa waswanu mzee Baba una hela ya kula kesh Dogo??Mkuu Niko pestana club huku juu