Maombi yenu jamani, kesho nasafiri kutoka Dodoma kwenda Iringa

Maombi yenu jamani, kesho nasafiri kutoka Dodoma kwenda Iringa

Aman iwe nanyi wapendwa

Kesho Nina safari ya kwenda iringa safar Yangu itaanzia Dodoma saa kumi na mbili asubuh. Maombi yenu jaman nifike salama na nirud salama.

Moyo wangu unasita sana kwa hii safari ya kesho sijui ni kwanini aisee. Yaan moyo Wang umejawa wasiwasi sijui kama nini yaan aisee

Maombi yenu wakuu. Mbalikiwe sana
AMINA


LONDON BOY
Unaenda na gar gan
 
Back
Top Bottom