Maombi yenu jamani, kesho nasafiri kutoka Dodoma kwenda Iringa

Mungu akutangulie,unaogopa nini hasa?njia ni nzuri sana ila tu mnapopita milima ya Nyang'oro msimuonee dereva aibu kumwambia apunguze mwendo maana chochote kinaweza kutokea iwapo hatakuwa muangalifu...
 
LONDON BOY.
 
Aminia mzazi jamaa anatembea speed ya rocket
 
Karibu mji wa baridi nitakupokeaaaa karibu sana halo ya hewa imeanza kibaridi ndo tunaingia ktk mvua hivyo usisahau maswetaaa na soksi nzito ndugu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…