Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Pamoja NANYUPU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sitak upate shida Dogo njoo chukua nyingine basNinayo mzee inatosha kwa makamuz ya njian
LONDON BOY.Aman iwe nanyi wapendwa
Kesho Nina safari ya kwenda iringa safar Yangu itaanzia Dodoma saa kumi na mbili asubuh. Maombi yenu jaman nifike salama na nirud salama.
Moyo wangu unasita sana kwa hii safari ya kesho sijui ni kwanini aisee. Yaan moyo Wang umejawa wasiwasi sijui kama nini yaan aisee
Maombi yenu wakuu. Mbalikiwe sana
AMINA
LONDON BOY
Aminia mzazi jamaa anatembea speed ya rocketMungu akutangulie,unaogopa nini hasa?njia ni nzuri sana ila tu mnapopita milima ya Nyang'oro msimuonee dereva aibu kumwambia apunguze mwendo maana chochote kinaweza kutokea iwapo hatakuwa muangalifu...