Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 358
- 831
Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni Moja.
Kwa Hali hii niombe tushirikiane kuomba na kutafutiana connection tu maana Kwa uwezo wangu sitoboi.
Kwa Hali hii niombe tushirikiane kuomba na kutafutiana connection tu maana Kwa uwezo wangu sitoboi.