Maombi yenu jamani, nafasi za ualimu ni janga.

Maombi yenu jamani, nafasi za ualimu ni janga.

Unao
Exactly why waalimu wasipate ajira wakati hata ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali ameliongelea hili?,na why serikali ya CCM ikaamua to dilute elimu ya vyuo vya ualimu kwa kuingiza siasa?,kipindi cha heshima na adabu vyuo vya ualimu vilipewa majukumu maalumu, Mkwawa CNE kutuletea high quality wa waalimu wa science kwa secondary&primary school, Marangu CNE waalimu wa kiingereza ,sasa what's went wrong mpaka to ka JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala up mfumo huu kabla ya kuuendeleza?,UCT ni chuo bora Africa kwa sababu kuna continuation ya standard, why kwetu ni mess tu?,na tunaishia kulalama tu eti ratio ya ajira 1:1500!!,mwalimu hasa wa English literature, chukua passport na spread your wings, nenda Thailand, Vietnam, China huko nafasi zenu zipo nyingi tu, kama sio risk takers your going to die trying
Unaongea mambo kirahisi sana mkuu.iyo nauli,hela ya visa na hela ya kusambaza CV nchi za watu unazitoa wap?
 
Unao

Unaongea mambo kirahisi sana mkuu.iyo nauli,hela ya visa na hela ya kusambaza CV nchi za watu unazitoa wap?
Endelea kusubiria hayo mkuu na utaletewa in a golden plate, hivi huwaoni wahabeshi wakijipakia ndani ya tankers malori kwenda SA ?,nenda kaanzie Lesotho au Swaziland 🇸🇿 kuichanga nauli
 
Kweli maisha yanakwenda kasi Tanzania, ajira za ualimu middle class wanalalama nazo, wakati kuna nchi hapa kusini bado zinasaka waalimu, nini tumekikosea kama nchi?,kipindi nchi bado ina heshima na adabu, unasomea ualimu unalipwa kichele cha ths 120 kwa mwezi, nauli unalipiwa, na ukimaliza diploma yako na kituo cha kazi umeshapangiwa!,mbona nchi za wenzetu bado wanayo haya ,sisi tulipotea wapi?,Mwalimu wa English literature kuna nafasi kibao kule Far East kufundisha kiingereza why uhangaike na viajira hivi?
Unatokaje na deni la loan board?
 
Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni Moja.
Kwa Hali hii niombe tushirikiane kuomba na kutafutiana connection tu maana Kwa uwezo wangu sitoboi.
Wenzenu wajanja wameomba vijijini huko, mikoa ya mbali, ili mradi kupata fursa, ungejua kabla ya kuomba ungeomba ushauri hapa kwanza, wengi wakiharibu ndio wanasema humu.
 
Wenzenu wajanja wameomba vijijini huko, mikoa ya mbali, ili mradi kupata fursa, ungejua kabla ya kuomba ungeomba ushauri hapa kwanza, wengi wakiharibu ndio wanasema humu.
Sahihi shule mpwapwa huko Hadi leo waombaji wako watu 20
 
Sahihi shule mpwapwa huko Hadi leo waombaji wako watu 20
Una hoja ningekuwa Mimi mwalimu naomba hata huko namanyele makalion mwa Tanzania au huko visiwani kikubwa kupata nafasi na kupinguza competition Sasa wote wanataka mjini
 
Kigoma kasulu kuna shule jana walikuwa 4 phyisic

Tabora kuna shule jana walikuwa 8 mathematics

Alafu mwanza ilemela walikuwa 423 Bios

English kwa uchache niliona 600+

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Una hoja ningekuwa Mimi mwalimu naomba hata huko namanyele makalion mwa Tanzania au huko visiwani kikubwa kupata nafasi na kupinguza competition Sasa wote wanataka mjini
Hadi Jana wanafunga Dirisha huko mpwapw wameomba watu 20 tu baadhi wamefika 120
 
Wenzenu wajanja wameomba vijijini huko, mikoa ya mbali, ili mradi kupata fursa, ungejua kabla ya kuomba ungeomba ushauri hapa kwanza, wengi wakiharibu ndio wanasema humu.
Kuwa wachache sio guarantee ya kupata, kuna vigezo vinazingatiwa.
 
Back
Top Bottom