Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 358
- 831
Kwenye masuala ya wanaume wanawake hupewa kipaumbele.Mwalimu unaandilka fulsa!!! Kweli?, wewe ushakosa tayari.
Ili ujue uhuni upo na unafanyika Kwa viwango vya juu hakuna atakayechukuliwa kwenye nafasi hiyo 1. Nimekaa pale.
Kama unataka kubadilisha kituo unafuta chaguo Hilo unaweka lingineONDOA INA MAANA GANI?
MfumoLakini nani anaruhusu haya? Rais?
Kikubwa ujumbe ufikeWewe Ni mhuni tu. Fulsa ndio kitu gani?
Kuna anayeruhusu mfumo ufanye maovuMfumo
AminaMungu akufanyie wepesi
Jiwe Aliharibu sana awamu yake enzi za kikwete wote waliajiriwa pia vyuo vikuu wanafunzi wanaosomea ualimu Huwa ni wengi. Na kiuhalisia nchi yetu bado Ina uhaba wa waalimu na madaktari sema ndio hivo akili ziko limited na hela za kuajiriKweli maisha yanakwenda kasi Tanzania, ajira za ualimu middle class wanalalama nazo, wakati kuna nchi hapa kusini bado zinasaka waalimu, nini tumekikosea kama nchi?,kipindi nchi bado ina heshima na adabu, unasomea ualimu unalipwa kichele cha ths 120 kwa mwezi, nauli unalipiwa, na ukimaliza diploma yako na kituo cha kazi umeshapangiwa!,mbona nchi za wenzetu bado wanayo haya ,sisi tulipotea wapi?,Mwalimu wa English literature kuna nafasi kibao kule Far East kufundisha kiingereza why uhangaike na viajira hivi?
Kweli maisha yanakwenda kasi Tanzania, ajira za ualimu middle class wanalalama nazo, wakati kuna nchi hapa kusini bado zinasaka waalimu, nini tumekikosea kama nchi?,kipindi nchi bado ina heshima na adabu, unasomea ualimu unalipwa kichele cha ths 120 kwa mwezi, nauli unalipiwa, na ukimaliza diploma yako na kituo cha kazi umeshapangiwa!,mbona nchi
Kama nchi Kuna mahala tumepita ambapo sio salama katika suala Zima la ajira. Tuzidi kuombeana katika hili kwanzaKuna anayeruhusu mfumo ufanye maovu
Exactly why waalimu wasipate ajira wakati hata ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali ameliongelea hili?,na why serikali ya CCM ikaamua to dilute elimu ya vyuo vya ualimu kwa kuingiza siasa?,kipindi cha heshima na adabu vyuo vya ualimu vilipewa majukumu maalumu, Mkwawa CNE kutuletea high quality wa waalimu wa science kwa secondary&primary school, Marangu CNE waalimu wa kiingereza ,sasa what's went wrong mpaka to ka https://jamii.app/JFUserGuide up mfumo huu kabla ya kuuendeleza?,UCT ni chuo bora Africa kwa sababu kuna continuation ya standard, why kwetu ni mess tu?,na tunaishia kulalama tu eti ratio ya ajira 1:1500!!,mwalimu hasa wa English literature, chukua passport na spread your wings, nenda Thailand, Vietnam, China huko nafasi zenu zipo nyingi tu, kama sio risk takers your going to die tryingJiwe Aliharibu sana awamu yake enzi za kikwete wote waliajiriwa pia vyuo vikuu wanafunzi wanaosomea ualimu Huwa ni wengi. Na kiuhalisia nchi yetu bado Ina uhaba wa waalimu na madaktari sema ndio hivo akili ziko limited na hela za kuajiri