Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku