Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Basi acha nipunguze wasije kukupiga kipapai ikawa tabu, manake kuna watu mafundi wa zengwe wasije kukuundia kamati ya semina elekezi.

Lakini wajue hata nisipoandika mistari hapa, uko ndani kabisa kumoyo.

Yaalaah yarabi tupe salama.

Hapo pa kumoyo pamenipa tulizo...

Basi twende mdogo mdogo bin kimya kimya.
 
Habari za muda Mkuu!

Ni wiki tatu sasa tangu ututoke dunia baada ya safari yako ya Dar es Salaam, kiukweli tulikaa sana na kusubiri majibu juu ya safari yako ila nasikitika sana kwa safari yako kutokuwa nzuri kwani ulishindwa hata kurudi kutuaga kabla hujaondoka.

Popote pale ulipo Mungu awe nawe na akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho.
 
Back
Top Bottom