Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
 
Mmejuana mwezi Leo umemfingia safari kumfuata,Ukweli uko vizuri,Kumbuka kondom tuu
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Kwanini msikutane gesti tu
Shauri yako
 
Back
Top Bottom