Mmejuana mwezi Leo umemfingia safari kumfuata,Ukweli uko vizuri,Kumbuka kondom tuuUmewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Kwanini msikutane gesti tuUmewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umebeba KY au utazikuta huko huko?.
Leo utatolewa marinda.
Umelichoka rinda lako
Ilikuaje?Sitakuja kulala kwa mwanamke kwa yaliyonikuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]