Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Yule mtoto hajitambui, we mwanamme gani anavaa chupi za kike? Wewe unaweza vaa bikini ukawaringishia wanawake? Basi mwenzako Martin anafanya haya.
Mmmmh!!! Ngoja nitafute picha / video,ukishaona mwanaume anajihusisha na mitindi/ fashion basi kuna 90% anaweza akawa punga/ chakula
 
Ameen. Usiikatishe safari yangu tafadhali. Ntakufungia tu safari.

Hahahahahhaaa Sam unawapa watu wivu ujue... Kila wanavotusoma hapa wivu unawapanda. Usisababishe wakanitupia zengwe buree Kasie wa watu.

Utakuja SA? Naanzaje kuikatisha hiyo safari sasa? Nakusubiri kwa hamuu.

Wakati nasoma ujumbe wako huu wimbo ukanijia.....
Usiende mbali namii mimi bado nakupenda. Usiondoke mbali namii mimi bado nakupenda.... By JN.
 
Kuhusu huu uzi, nimesoma comment kadhaa za wanaume ila asilimia kubwa wanaongelea kufiraa iwapo ni tukio la kufumania. Kwanini wanaume huwa mnawaza kuharibiana sehemu ya haja kubwa iwapo mtakuta mwanamke wako yukona mwanaume mwingine? Kwanini isiwe kupigana ndondi ili atayeshinda ndo anaondoka na mwanamke?

Huwa sielewi kabisaaa....

Kitakwimu wanawake wako wengi kuliko wanaume, sasa mkizidi kupunguza idadi ya wanaume kwa kuharibuana wenyewe kwa wenyewe (mnaongeza idadi ya mashoga).... Basi mjue idadi ya wanawake inazidi kuwa kubwa na mtaanza kutawaliwa na wanawake muda si mrefu.

In Jiwe's voice... "Watch Out".
 
Kasie wangu;
wanadamu wengi wana akili mandazi kwasababu wanapenda " kutengeneza kwa kuharibu"
ninamaanisha mtu aliyeumizwa moyo ili angalau ajisikie nafuu rohoni anamharibia mwingine zaidi.

lakini huwa tunajiuliza haya??;-
1. imekuwaje mke mwenye mume akubali kukulwa na mwingine?
2. je mwenye kosa ni mgoni au mke ambaye anajua ameolewa na akagawa kwa mwingine?

mimi ninaamini wakuadhibiwa zaidi ni mke kwani ndiye mwenye dhamana ya kutunza kiapo.
 

Majibu ya 1 na 2 yatatofautiana kulingana na hali. Cha muhimu, kila mmoja akikaa kwenye nafasi yake kwa uaminifu haya yote hayatatokea na shetani atakufa. Namaanisha mschana ambae hajaolewa akikaa bikra hadi harusi hata kama akizeeka nayo au Muda nayo inamaana mvulana nae ambae hajaoa atabaki na gwadu zake hadi aoe au hata akifa nazo. Na waliooa na kuolewa watakuwana wenza wao tuu unafikiri nani atamfumania mwenzie....

Si sawa kumwambia mtu akatae kutongozwa kisa ni mms wa mtu.... Mioyo ya uvumilivu na kiwango cha kuyokushawishika vinapishana. Hapo useme pia wanaume wangekuwa wanakataa K wanazoletewa na wanawake wanaojiuza kusingekuwa na nyumba ndogo wala michepuko. Yaani mwanaume K ijilete inajipitisha na kujilainisha hatabure umchape tuu..... Hahaaaa asilimia 90 watachapa na hapo Ndo ujue uhasama unapoanzia.

Hakuna aliye mwaminifu, wote tuna damu na nyama, wote tuna mioyo. Kila mmoja akiwa mwaminifu hapo sawa ila kwakutegeana ati ukitongozwa kataa.... Atauliza kwanini wewe unatongoza.

Anyways....kila mtu na utashi wake na kipimo cha hasira na maamuzi.
 

Tungefuata huu ushauri, majela, polisi, mahakama, sijui mapaparazi wote hao wangetafutiwa kazi nyingine.
Natofautiana kidogo na wewe hapo tu kwenye kupigana mpenzi, hata nikiwakuta hakuna haja ya kugombana, ni kuondoka tu taratibu huku unaimba wimbo wa Lucky Dube, Its not easy...ukifika mahali ukitulia unashushia na ule wa Nitapona mdogomdogo wa Nandy. Maisha yanaendelea.

Ujue hadi mtu kufikia hatua ya kuwa na mtu mwingine, kimsingi kuna tatizo. Sasa hata nikilazimisha au kudundana, bado hairejeshi upungufu uliojitokeza. Dawa nzuri hata kwenye ugomvi au majadiliano ya jazba ni kunyamaza, lakini sio kila mtu anaweza hilo.

Sasa kwa hizi comment, wengi wanaoongelea kuharibu wanaume wenzao, si watakua wahalifu kuliko hata hao wanaochepuka?

Hizi busara zako ndio huwa zinanikosha mie Samaritan. Uko vizuri Kasie
 

Basi acha nipunguze wasije kukupiga kipapai ikawa tabu, manake kuna watu mafundi wa zengwe wasije kukuundia kamati ya semina elekezi.

Lakini wajue hata nisipoandika mistari hapa, uko ndani kabisa kumoyo.
 

Asantee Sam...
Ya walimwengu tuwaachie walimwengu tuende na yetu.

Nimependa pia maamuzi yako ya kutochukua sheria mkononi. Ubarikiwe msamaria mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…