Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Unawashwa mata. Ko mbona una kiherehere kama cha mbwa.We unataka nini we amekuambia anaenda dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawashwa mata. Ko mbona una kiherehere kama cha mbwa.We unataka nini we amekuambia anaenda dar
Hawalitaki wadau
Bora [emoji5]Utafanyiwa,yenye utukufu ndani yake[emoji1]
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Yani bado wewe uje uombe ushauri wa namna ya kumpagawisha so and soVioja haviwezi kuisha humu ndani
Hahahaha..haitotokea kufanya ivyoYani bado wewe uje uombe ushauri wa namna ya kumpagawisha so and so
Hivi martin anapakuliwa?Ushalizwa wewe, madada wa Dar unawajuwa lakini? Unaweza kuwa unachat na mwanamke kumbe naye anachat nawe kumtongozea jamaa yake (mwanamme). Unafika sehemu unakuta jibaba limeshiba kitandani mtambi zembe huo na ndevu kibao anakusalimu kwa sauti ya kitoto 'harooo, hujambo, mie thijambooo haku babu weeee.' Natumai utakuwa umesafiri na rungu ama fimbo kujiandaa na majanga ya Dar, wanawake wengi wa Dar ni makuwadi wa mashoga kama afanyavyo Wema Sepetu kuwatongozea kina Martin Kadinda wanaume wa mjini.
Mh! Ngoja kwanza niitishe kikao cha dharura kuhusu hili jambo. Kamati yenyewe ina baadhi ya hawa waheshimiwa, Shunie na Sakayo Tukifikia muafaka, carbamazepine na Thad watakuletea mrejesho endapo tuna nia ya kuchukua jimbo.
Lakini kwa upande wangu kuna jimbo la kudumu linakaliwa na Kasie Matata. Huyo akiridhia, mchezo umeisha.
Hujafika tu utupe mrejeshoUmewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
HahahahNiliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.
Nilifanya hivyo ili awe na hofu.
yapSitakuja kulala kwa mwanamke kwa yaliyonikuta
Mpaka muda huu hujasikika mkuu!! Yatakuwa yamekukuta makubwa, pole!Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Mpaka mwisho wa dahari. Kuna papa na nyangumi, tena wale wa hatari, hawataki kuiona, meli yetu bahariniii, watafanya kila njia, waivumishe safaaaaari.....
Mchana mwema Kasie
MV Mapenzi meli ya wapendanao, ona sana fahari kuoana mimi na wewe.
Duniani kuna mengi sawa sawa na bahari...
Kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari.....
Saudaaa aahahahahh.
Sam unaamsha madude ujue....