Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Hawalitaki wadau

Mh! Ngoja kwanza niitishe kikao cha dharura kuhusu hili jambo. Kamati yenyewe ina baadhi ya hawa waheshimiwa, Shunie na Sakayo Tukifikia muafaka, carbamazepine na Thad watakuletea mrejesho endapo tuna nia ya kuchukua jimbo.

Lakini kwa upande wangu kuna jimbo la kudumu linakaliwa na Kasie Matata. Huyo akiridhia, mchezo umeisha.
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku

Ushalizwa wewe, madada wa Dar unawajuwa lakini? Unaweza kuwa unachat na mwanamke kumbe naye anachat nawe kumtongozea jamaa yake (mwanamme). Unafika sehemu unakuta jibaba limeshiba kitandani mtambi zembe huo na ndevu kibao anakusalimu kwa sauti ya kitoto 'harooo, hujambo, mie thijambooo haku babu weeee.' Natumai utakuwa umesafiri na rungu ama fimbo kujiandaa na majanga ya Dar, wanawake wengi wa Dar ni makuwadi wa mashoga kama afanyavyo Wema Sepetu kuwatongozea kina Martin Kadinda wanaume wa mjini.
 
Hivi martin anapakuliwa?
 
Mh! Ngoja kwanza niitishe kikao cha dharura kuhusu hili jambo. Kamati yenyewe ina baadhi ya hawa waheshimiwa, Shunie na Sakayo Tukifikia muafaka, carbamazepine na Thad watakuletea mrejesho endapo tuna nia ya kuchukua jimbo.

Lakini kwa upande wangu kuna jimbo la kudumu linakaliwa na Kasie Matata. Huyo akiridhia, mchezo umeisha.

Sam...... Tuko pamoja.
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Hujafika tu utupe mrejesho
 
TUKIO:

Kuna kijana ameuwa na mwili wake kukutwa eneo la polisi block 21 Leo hii tarehe 18/7/2018,

Kwa yeyote aliyepotelewa na ndugu yake afike hospital ya Vijibweni kwa ajili ya utambuzi.

Mungu mlaze Peña peponi huyu kijana, amin. Mbona atoi mrejesho au ndo tayari keshadedi
 
Niliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.

Nilifanya hivyo ili awe na hofu.
Hahahah
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Mpaka muda huu hujasikika mkuu!! Yatakuwa yamekukuta makubwa, pole!
 
Mpaka mwisho wa dahari. Kuna papa na nyangumi, tena wale wa hatari, hawataki kuiona, meli yetu bahariniii, watafanya kila njia, waivumishe safaaaaari.....

Mchana mwema Kasie

MV Mapenzi meli ya wapendanao, ona sana fahari kuoana mimi na wewe.

Duniani kuna mengi sawa sawa na bahari...
Kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari.....

Saudaaa aahahahahh.

Sam unaamsha madude ujue....
 
Basi acha niishie hapo..tuvute subra muda wake muafaka ufike. Ila popote unapokua na chochote unachokifanya, usisahau ahadi yetu.

Iko siikuuu...
 
Back
Top Bottom