Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Pole jamani umefungiwa kwenye kabati sijui ulikuwa vipi uko huku mbebez anatoa miguno ya kukulwa
Sema yule mwanamke namshukuru sana alimchezesha sebene lile lijamaa hadi likawa hoi likalala fofofo,ndo kuchoropoka spidi 120

Mbunye hatari
 
Ameniambia nikifika Ubungo atakuwepo kunipokea na gari lake na kwenda nae kwake ,sasa sijui itakuaje hapo
Kinachonistua ni namna mwanamke alivyo desperate uende. Mpaka atakufuata na gari STENDI!
 
Back
Top Bottom