Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kama alivyosema anahitaji maombiHuyu acha yamkute ya kumkuta mtu hamjawahi onana unajipeleka mpaka kwake huogopi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyosema anahitaji maombiHuyu acha yamkute ya kumkuta mtu hamjawahi onana unajipeleka mpaka kwake huogopi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani unampango wa kunifanyia shambulio la aibu nini?Eeenh wewe kubali kirahisi rahisi tu
Huyu atakuwa anapenda kitonga/mteremkoUkute hata nauli ya kurudi hana. Ila kukubali kufikia nyumbani kwa mwenyeji wake ni kosa kubwa. Bora wangekutana lodge
Hyo ndio nguvu ya papuchi sasaHuyu acha yamkute ya kumkuta mtu hamjawahi onana unajipeleka mpaka kwake huogopi
Mm kwakweli simuombei mwana kuyataka mwana kuyapataKama alivyosema anahitaji maombi
Hahahha unakubali vipi kuja kirahisi rahisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani unampango wa kunifanyia shambulio la aibu nini?
Marioo type nakazia ninge mwanaume unayejielewa huwezi kukubali hivyo vituHuyu atakuwa anapenda kitonga/mteremko
Kwa sababu nakuja kwa nia nzuri tuHahahha unakubali vipi kuja kirahisi rahisi
Nguvu ya papuchi kumbe unaenda kukutana na dume mwenzioHyo ndio nguvu ya papuchi sasa
Kwa sababu nakuja kwa nia nzuri tu
Basi nimeahirisha siji tenaHata kama bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni matokeoNguvu ya papuchi kumbe unaenda kukutana na dume mwenzio
Basi nimeahirisha siji tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha yaan wewe akili zako kama za huyu mleta mada
Kweli kabsa shunie!! Jamaa ni marioo huwez kujpeleka kirahisi rahisi hvyoo,, inabd uoneshe uanaume wako bhnaMarioo type nakazia ninge mwanaume unayejielewa huwezi kukubali hivyo vitu
HeheheUmebeba KY au utazikuta huko huko?.
Leo utatolewa marinda.
Kabisa hivi angekuwa sio marioo angeshindwa kuchukua hotel jamani unajipeleka kabisa na makengele yako kwa mwanamkeKweli kabsa shunie!! Jamaa ni marioo huwez kujpeleka kirahisi rahisi hvyoo,, inabd uoneshe uanaume wako bhna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie bhna,, ngoja aende bhana atakuwa kadatishwa na mapicha picha huyu sio bureKabisa hivi angekuwa sio marioo angeshindwa kuchukua hotel jamani unajipeleka kabisa na makengele yako kwa mwanamke