Basi acha nipunguze wasije kukupiga kipapai ikawa tabu, manake kuna watu mafundi wa zengwe wasije kukuundia kamati ya semina elekezi.
Lakini wajue hata nisipoandika mistari hapa, uko ndani kabisa kumoyo.
Hahahaaaa fanya hivo tena unipe copyAhsante. Au unataka nimwanzishie uzi kama namfungia safari? hahahahahaaaaa