Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Niliwahi kulaka kwa mwanamke mmoja hivi sikupata usingizi lile lilikuwa kosa kubwa sana nililokuja kujutia.[emoji23] [emoji23] jf idumu
Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbiaNiliwahi kulaka kwa mwanamke mmoja hivi sikupata usingizi lile lilikuwa kosa kubwa sana nililokuja kujutia.
Siwezi kulala tena kwa mwanamke ambaye nina mahusiano nae kwa miezi miwili au mitatu.
Niliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbia
Unatokea wapi mbona hutaki kunijibu?Mkuu amini usiamini nimefanya safari kwa ajili yake,sipati picha
Kumbe ni Inshomire hahahaha nasikia mna Man Water sasa leo si utamwaga maji hadi nyumba ya watu ijae.Karagwe mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umebeba KY au utazikuta huko huko?.
Leo utatolewa marinda.
Magacha Mura kuwa makini.Mimi sio inshimire,ila nipo tu kikazi
Hiki ulichoandika inamaanisha ushachumbia na kukaa zaidi ya miaka miwili na wanawake mbalimbali?Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbia
Hawalitaki wadauHilo jimbo iko namna, si bure.
Wanaume wa mikoani waoga kishenzi sasa mkwara wote wa niniNiliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.
Nilifanya hivyo ili awe na hofu.
Na wewe ni Risk takerUmewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia
Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita
Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku