Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Niliwahi kulaka kwa mwanamke mmoja hivi sikupata usingizi lile lilikuwa kosa kubwa sana nililokuja kujutia.

Siwezi kulala tena kwa mwanamke ambaye nina mahusiano nae kwa miezi miwili au mitatu.
Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbia
 
Wanaume wa mikoani ni mazwazwa ama? Mtu humjui hufungi safari unamuita kwako au labda umekuja kwa shughuli zingine yeye n extra.

Nakuonea huruma
 
Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbia
Niliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.

Nilifanya hivyo ili awe na hofu.
 
Wanaume wa mikoani ni mazwazwa ama? Mtu humjui hufungi safari unamuita kwako au labda umekuja kwa shughuli zingine yeye n extra.

Nakuonea huruma
Mkuu amini usiamini nimefanya safari kwa ajili yake,sipati picha
 
Umebeba KY au utazikuta huko huko?.

Leo utatolewa marinda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JF bhana
 
Mi silali kwa mwanamke labda awe nimekaa nae mahusiano miaka miwili na kuendelea na nshamchumbia
Hiki ulichoandika inamaanisha ushachumbia na kukaa zaidi ya miaka miwili na wanawake mbalimbali?
 
Niliwahi kulala kwa demu mmoja nimemuokota Kwenye Mtandao ila nilijitambulisha kwake kuwa mimi ni Askari nimemaliza Mafunzo ya Kijeshi na tupo humu mjini na wenzangu kadhaa tunapata mapumziko kabla ya kurudi msituni.

Nilifanya hivyo ili awe na hofu.
Wanaume wa mikoani waoga kishenzi sasa mkwara wote wa nini
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Na wewe ni Risk taker
 
Back
Top Bottom