Risk Taker huyo acha kumpa mteruWe kaka una moyo na kauzu. Mdada hata humjui unafikiaje kwake na ana mtoto juu?
Naishi kwa tahadhari sio kwa mikwara, toka naanza kuishi duniani huwa nafanya mambo ambayo wewe ukifanya utashitukiwa haraka zaidi.Wanaume wa mikoani waoga kishenzi sasa mkwara wote wa nini
Unamuamini mwanamke?tena ambae hata hujamjua vyema na watu wenyewe hao wa dar wajanja wajanjaLakini kanambia usalama upo fully,maana kila siku nilikuwa nasisitiza kama kuna usalama was kutosha,ananiambia wala nisiwe na hofu,ila sipati picha
Hahaahah kulala kwa mwanamke ni sawa na kuvaa bomu muda wowote linalipuka
Kwann unataka kusema ni hatari zaidi ya gazzaHahaahah kulala kwa mwanamke ni sawa na kuvaa bomu muda wowote linalipuka
We unaona salama?si bora afikie hotel mwanamke aje mambo gani ya kufikia kwa watu na huwajui ukichunwa ngoziKwann unataka kusema ni hatari zaidi ya gazza
Malinda bado yapo!?Sitakuja kulala kwa mwanamke kwa yaliyonikuta
Mm niwe mkweli,siwezi kukuombea kabisaaa...usisahau mrejesho tuu[emoji16]Duh,ila kwa vile nimeamua kuyaoga,maombi yenu ni muhimu
Mambo ya mbeya vijijini huko nani ana nunua ngozi huko mjini dzmWe unaona salama?si bora afikie hotel mwanamke aje mambo gani ya kufikia kwa watu na huwajui ukichunwa ngozi
Kasema anakuja dar au?Mambo ya mbeya vijijini huko nani ana nunua ngozi huko mjini dzm
Mkuu uwe na adabuMalinda bado yapo!?
Yeah anakuja mjini huko...Kasema anakuja dar au?
Hapana mkuu, haijawah kutokea hiyo criteria kufanikiwa sijawahi kukaa kwa mwanamke kwasababu sijawah kutimiza hivyo vigezoHiki ulichoandika inamaanisha ushachumbia na kukaa zaidi ya miaka miwili na wanawake mbalimbali?
Rinda liweke supagluu ili kujihakikishia usalama wako piaLakini kanambia usalama upo fully,maana kila siku nilikuwa nasisitiza kama kuna usalama was kutosha,ananiambia wala nisiwe na hofu,ila sipati picha