Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Hahaahah kulala kwa mwanamke ni sawa na kuvaa bomu muda wowote linalipuka
Lakini kanambia usalama upo fully,maana kila siku nilikuwa nasisitiza kama kuna usalama was kutosha,ananiambia wala nisiwe na hofu,ila sipati picha
 
Wanaume wa mikoani waoga kishenzi sasa mkwara wote wa nini
Naishi kwa tahadhari sio kwa mikwara, toka naanza kuishi duniani huwa nafanya mambo ambayo wewe ukifanya utashitukiwa haraka zaidi.
 
Hiki ulichoandika inamaanisha ushachumbia na kukaa zaidi ya miaka miwili na wanawake mbalimbali?
Hapana mkuu, haijawah kutokea hiyo criteria kufanikiwa sijawahi kukaa kwa mwanamke kwasababu sijawah kutimiza hivyo vigezo
 
We unaona salama?si bora afikie hotel mwanamke aje mambo gani ya kufikia kwa watu na huwajui ukichunwa ngozi
Ameniambia nikifika Ubungo atakuwepo kunipokea na gari lake na kwenda nae kwake ,sasa sijui itakuaje hapo
 
Back
Top Bottom