Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Ushauri Wangu ni kwamba kwa sababu ni siku ya kwanza fikia kwanza guest ili umsome vizuri, ukimielewa utahamia kwake.
 
Ushauri Wangu ni kwamba kwa sababu ni siku ya kwanza fikia kwanza guest ili umsome vizuri, ukimielewa utahamia kwake.
Tatizo ameisha niambia atakuwa na gari lake pale stend,nikifika ananipokea na kwenda kwake
 
Karibu sana, make sure unampa fimbo ya maana.. Kila la kheri maana unabeba bendera ya uwakilishi wa wanajamii forum wote
 
Tatizo ameisha niambia atakuwa na gari lake pale stend,nikifika ananipokea na kwenda kwake
Kama mwanaume unaweza kushukia njiani ukapanda gari ukaenda hotelini, tunachokwambia tunakijua mjini kuna mambo mengi kaka, hakikisha kwa siku ya kwanza tena usiku haufikii kwake.
 
Ushauri Wangu ni kwamba kwa sababu ni siku ya kwanza fikia kwanza guest ili umsome vizuri, ukimielewa utahamia kwake.
Afu mnasema wanaume wa dar wanalelewa na wanawake, we unatoka kwenu unakuja kukaa kwa mwanamke kapange gesti au panga chumba kabisa ili asije baba mwenye mtoto akakupiga mabusu, kwanza nikuulize...wewe ni handsome?
 
Mkuu,mm huwa nanunua p*mb* na meno ya wanadamu,kuna mdada nimekuwa nikifanya nae biashara hii na akaniahidi kuwa baada ya mwezi mmoja ataniletea korodani zenye uzito wa kilo mbili,pia tulikubaliana kuwa nitanunua millioni 40 kwa kila kilo moja na nimekwisha mtangulizia kama million 30 ikiwa ni advance... So jitahidi kutembea kwa uangalifu usije ukagongwa na magari mimi nikapata hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…