Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mfano nini? Kudanganya unarudi msituni?Naishi kwa tahadhari sio kwa mikwara, toka naanza kuishi duniani huwa nafanya mambo ambayo wewe ukifanya utashitukiwa haraka zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano nini? Kudanganya unarudi msituni?Naishi kwa tahadhari sio kwa mikwara, toka naanza kuishi duniani huwa nafanya mambo ambayo wewe ukifanya utashitukiwa haraka zaidi.
Mwache akampasue mtu [emoji23] [emoji23]Mm niwe mkweli,siwezi kukuombea kabisaaa...usisahau mrejesho tuu[emoji16]
Hujamuuliza baba mtoto yupo wapi, au kwann anakaa pekeakeAmeniambia nikifika Ubungo atakuwepo kunipokea na gari lake na kwenda nae kwake ,sasa sijui itakuaje hapo
Endelea kupanuka nyonga za kichwani kwanza.Mfano nini? Kudanganya unarudi msituni?
Usifanye hivyo mumuMm niwe mkweli,siwezi kukuombea kabisaaa...usisahau mrejesho tuu[emoji16]
Tunasubiri mrejeshoAmeniambia nikifika Ubungo atakuwepo kunipokea na gari lake na kwenda nae kwake ,sasa sijui itakuaje hapo
Za kazi gani? Lipumba zimempanuka sasa hivi anafanya nini?Endelea kupanuka nyonga za kichwani kwanza.
Kichaa pia ana nyonga.Za kazi gani? Lipumba zimempanuka sasa hivi anafanya nini?
Sasa namuombeaje jamanii...eti Cole??[emoji3]Usifanye hivyo mumu
Hatar sana!Naishi kwa tahadhari sio kwa mikwara, toka naanza kuishi duniani huwa nafanya mambo ambayo wewe ukifanya utashitukiwa haraka zaidi.
Asije pasuliwa yeye tuu,.[emoji23]Mwache akampasue mtu [emoji23] [emoji23]
Daaah,.mzee baba umejipangaa[emoji23][emoji23][emoji23]Niombee mumu hamna namna maana hapa nilipo nipo kwenye basi na ndo naelekea Singida kwenda Dar kwenye tukio
Kama mwanaume unaweza kushukia njiani ukapanda gari ukaenda hotelini, tunachokwambia tunakijua mjini kuna mambo mengi kaka, hakikisha kwa siku ya kwanza tena usiku haufikii kwake.Tatizo ameisha niambia atakuwa na gari lake pale stend,nikifika ananipokea na kwenda kwake
Afu mnasema wanaume wa dar wanalelewa na wanawake, we unatoka kwenu unakuja kukaa kwa mwanamke kapange gesti au panga chumba kabisa ili asije baba mwenye mtoto akakupiga mabusu, kwanza nikuulize...wewe ni handsome?Ushauri Wangu ni kwamba kwa sababu ni siku ya kwanza fikia kwanza guest ili umsome vizuri, ukimielewa utahamia kwake.