Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Maombi yenu nasafiri kwenda Dar kukutana na asiyejulikana

Usitishwe mkuu, wewe nenda mkaonane mfanye yenu, maisha matamu, wengi wamebahatika kwa njia hii
 
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia

Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye tumefahamiana mwezi mmoja uliopita

Licha ya kunihakikishia kuwa anakaa peke yake na mwanae ila bado nahitaji maombi yenu ngumu kuliko sehemu husika nitafika muda wa SAA 4 hivi za usiku
Karibu kijana .... Kumbe ndio maana demu wangu kaniambia mama yupo njiani anakuja so Leo na kesho usije OK ...OK ...
Vizuri sana karibu Dsm
 
Back
Top Bottom