Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli sijui nachosubir huu mwak nipambane sana😀Unasubiri nini?
Sina baya kila ka heri kwenye ndoa yako..nitaingia huko soon.kunasiku niliwahi kukutolea povu??
😅😅😅😅relaxDo you know me ??? Hutaki nikujue😀 very mean very very mean. .
inshallah, ikawe ndoa ya heri kwakoSina baya kila ka heri kwenye ndoa yako..nitaingia huko soon.
Mungu ambariki sana mpendwa wetu, yeye pamoja na familia yake yote kwa ujumla.Utukufu kwa Mungu aliye juu...
Hongera kwako na familia yako Gilly,
Naona soon kuna mtu ataleta thread kama hii ya mtoto wake wa pili...
Mac Alpho njoo umpe neno mpendwa hapa tafadhali...
😀😀😀😀😀basi mbebe mtoto umbembelezeI am not relaxing. .
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Haya wewe endelea kunichora tu😀
Ngoja nifungue ID nyingine nimutongoze😀😀😀😀
Nimepata mtoto wa kiume. Mola ni mwingi wa rehema. .Mungu amtangulie,maombi unayopiga hapo hee ajueye Mola
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Huyo mwanao mwite KilimbatzzHabari za asubuhi ndugu zangu wa JF,
Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu.
Pili, Leo hii tuko hospital magomeni hapa. Mda huu amepangiwa c section (kujifungua kwa operation). Huyu akiwa mtoto wetu wa pili. Hivi navyoandika hapa yuko chumba cha upasuaji (Theatre) na mimi niko nje nasubiri.
Ndugu zangu huu ni mwezi wa Kwaresma na pia ni mwezi wa Ramadhani. Tuwe pamoja na kheri njema ya maombi yenu.
Ndugu yenu Gily . .
Updates:
07:41 Nimefurahi sana ndugu zangu nimepata mtoto wa kiume. Niko nae hapa analia kinyama mpaka natamani nilie. Mungu kanipa hitaji la moyo wangu, nilikuwa natamanj sana kuwa na mtoto wa kiume. .
Mke wangu bado yuko chumba cha upasuaji. Nimepewa taarifa she is doing fine ila bado wanamshona na kumsafisha. I can't wait to see her.
Updates:
08:00 mke wangu katoka chumba cha upasuaji. Tuko chumba cha wodi private. Anaendelea vizuri madaktari wanampima pressure iko vizuri kabisa. .