A
Anonymous
Guest
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike barua kwenda kwa waajili wetu lakini hadi leo hatujapata ufumbuzi.
Ndani ya Mfumo wa ESS wengine status zina miezi 6 zinasoma TAMISEMI lakini hawataki kutoa majibu, hatuelewi hatma ya kazi zetu na kuwa mbali na familia zetu, ndoa zetu zinakufa kisa kazi kila tukiwaelekeza viongozi wa TAMISEMI na UTUMISHI hawafanyii kazi, huenda kwa kuwa wao wapo Dodoma na familia zao na ndoa zao hazina shida.