Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #41
una kikwetephobia? taarifa Rais hapew uwanjani. Taarifa hii ya Nujoma imeletwa toka jumapili na mimi nimesikia ikisomwa taarifa ya habari ya TBC Taifa juzi juaa mbili usiku.Mechi ilikuwa leo
una kikwetephobia? taarifa Rais hapew uwanjani. Taarifa hii ya Nujoma imeletwa toka jumapili na mimi nimesikia ikisomwa taarifa ya habari ya TBC Taifa juzi juaa mbili usiku.Mechi ilikuwa leo
Kwani umesahau Jakaya aliposema asilimia 70 wanafuata upepo. Sasa angalia wewe mwenyewe sijui unafuata upepo upi?
Jamani huu ukosoaji sasa umezidi! Kwani kwenda kwake uwanjani na kuangalia mpira ndio kunaondoa 'maombolezo'? Mkosoe Rais Kikwete kwenye mambo mengine yaliyo wazi lakini kwa hili sikubaliani na wewe Mzee Mwanakijiji.
MKJJ ...Maombelezo maana yake nini? Kulala nyumbani? Hivi ukiwa ktk Luninga na Uwanjani..tofauti yake ni nini?
Mbona ktk Mazishi ya wakristo kunakuwa na Pombe.(Bar ya Muda)..!!!! ni kusikitika au kufurahi...?
Mtu akishakufa watu wanatakiwa ku-move on na mambo Mengine.
Hata Nguo za Maiti hazitakiwi kuwa za Expensive..ma-suit..ma-dhahabu etc...ni shuka tu inamtosha.
Rais huyu ndiye aliyetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku saba. Yeye kama kiongozi wa Taifa alitakiwa afanye hivyo hivyo na asijihusihe na sherehe zozote katika kipindi hicho; huwezi kuomboleza na kushangilia kwa pamoja (huo ni usiku na mchana). Ndiyo maana tuna haki ya kuhoji kama kweli maneno anayotuambia huwa yanatoka moyoni mwake kweli au anayatoa tu bila hata kujua anasema nini.
Una maana leo hii Kawawa amekuwa Babaake Kikwete? Mbona nafasi ya Kiwete ni sawa na mwananchi mwengine kwa Kawawa, Labda wanawe wa kuwazaa.
MKJJ ...Maombelezo maana yake nini? Kulala nyumbani? Hivi ukiwa ktk Luninga na Uwanjani..tofauti yake ni nini?
Siku 7 za maombolezo haimaanishi kwamba kila kitu ndo kisimame(watu wasiende makazini walasehemu yoyote kama pale uwanjani),mbona watu walikaa kimya kwa dakika 1 kuomboleza huo msiba wa mzee Kawawa pale uwanjani??.Ni vizuri tumkosoe JK kwa utendaji wake aisee na si kwa hili la kwenda uwanjani ilhali siku za maombolezo ya msiba wa Kawawa hazijakwisha
Mimi nadhani umeamua kumtetea Kikwete kwa sababu hafifu sana.Jamani huu ukosoaji sasa umezidi! Kwani kwenda kwake uwanjani na kuangalia mpira ndio kunaondoa 'maombolezo'? Mkosoe Rais Kikwete kwenye mambo mengine yaliyo wazi lakini kwa hili sikubaliani na wewe Mzee Mwanakijiji.
BABA na wewe umeshakubali kuwa 'Asilimia kubwa ya waTz reasoning capacity yao ni ndogo sana' kwanini na wewe bado unawafumbia mafumbo?. Kwa nini usimtaje huyu ' mtu akiwa mjanja kidogo tu nakuligundua hilo basi atawadrive the way anavyotaka na kukaapembeni akicheka maana anaweza sema kitu kwa kutegesha uone respond ya Great thinkers' uone utakavyoshukiwa!.Asilimia kubwa ya waTz hususani wasomi reasoning capacity yao ni ndogo sana but wao wenyewe hujiona ni wajanja na ndiyo maana mtu akiwa mjanja kidogo tu nakuligundua hilo basi atawadrive the way anavyotaka na kukaapembeni akicheka maana anaweza sema kitu kwa kutegesha uone respond ya Great thinkers....WATZ WANAJUDGE NANI KASEMA NA SIO KASEMA NINI HASA NA KINA ENDANA NA TUKIO AU MAANA HALISI?????........na WANASIASA WATZ wanalijua sana na ndoo maana wataendelea kutesa kwa kwenda mbele.....
" IF YOU REAL HAVE A BRAIN YOU WILL KNOW WHAT I REAL MEAN"
Jamani huu ukosoaji sasa umezidi! Kwani kwenda kwake uwanjani na kuangalia mpira ndio kunaondoa 'maombolezo'? Mkosoe Rais Kikwete kwenye mambo mengine yaliyo wazi lakini kwa hili sikubaliani na wewe Mzee Mwanakijiji.
Mzee Mwanakijiji kwenye hili umemiss the points 'mbili muhimu' kwenye 2 different issues.
1. Umechanganya matanga, na maombolezo. Matanga ndicho kipindi cha kutulia na kutafakari, maombolezo ni to observe recognition ya msiba husika. Baada ya mazishi, huwa kuna matanga, siku hizi tanga ndugu, mhusika wa matanga akionekana kwenye burudani hiyo ni issue nyingine. Kawawa siyo ndugu na JK, hivyo JK siyo sehemu ya matanga Mzee Kawawa, unless anabaki kwa ridhaa yake. Baada ya mazishi, watu hutangaziwa matanga, wahusika huendelea na matanga na wasio husika husambaa na kuendelea na shughuli zao za kila siku, life goes on. Ndivyo alivyofanya JK.
2.Point ya pili iliyoimisi, ni kuhusu significance ya hii mechi, kama ilisoma jibu langu la awali, nilisema this was not a friendly match, this was a sales strategy. Hii jamani sio mechi ya kirafiki, hii ni biashara kubwa ahead. JK sio amekwenda kurukaruka uwanjani, amekwenda kuisell Tanzania ili ulimwengu u buy Tanzania. Hii ni sales campaign ya uwanja wetu kwenye on coming kombe la dunia ndio maana nikakuambia its a matter of judgement. It has nothing to do with soccer development in Tanzania, its pure bussiness.
JK pamoja na maroroso yake, tusikabe mpaka kona, kwenye mazuri machache ama tuya-acknowdge ama tuyaignore na kujinyamazia ila 'Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni'.
jamani huu ukosoaji sasa umezidi! Kwani kwenda kwake uwanjani na kuangalia mpira ndio kunaondoa 'maombolezo'? Mkosoe rais kikwete kwenye mambo mengine yaliyo wazi lakini kwa hili sikubaliani na wewe mzee mwanakijiji.