Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% ni upuuzi kumshutumu JK kwenda mpirani. Ndiyo Kawawa kafariki, JK kama mkuu wa serikali amefanya kila awezalo kumuenzi marehemu kawawa, kama vile kutoa siku saba za maombolezo, kushusha bendera nusu mlingoti, kupiga mizinga wakati wa mazishi nk. Na ileweke kwamba kifo cha mtu mmoja katika jamii hakiwezi kufanya shughuli zisimame, maisha yanatakiwa yaendelee kama kawaida. Kusimamisha shughuli kamwe hakutamfufua aliyekufa. Amekufa na tumemzika kwa heshima zote full stop. Sasa MMJ ulitaka maduka, mahospitali, magenge, store za bia, maofisi yote yafungwe ndiyo ujue kweli tunaombeleza kifo cha Kawawa?.
Duuh!Kuna chuki zingine too much,maana huyo mwanakijiji amemchukia Kikwete kiasi kwamba kila anachokifanya Kikiwete ni baya na la kijinga!
Hey! Kuna tofauti kati ya chuki na kukosoa! Sidhani kwamba Mwanakijiji ama yeyote yule anayesekosoa utendaji wa Kikwete ana chuki yoyote naye.
.Mie hata 'silii' kama unavyodai mheshimiwa Lunyungu. Kwangu mimi 'kulialia' ni pale mnapoanza kukosoa hata mambo yasiyo na mshiko kama hili la rais kuhudhuria mechi ya mpira wa miguu. Tumempoteza mheshimiwa Kawawa tangia tarehe 31 December. Taratibu zote za kitaifa zimefanyika na mazishi tayari sasa tupo kwenye 'maombolezo ya siku saba'. Tatizo ni kuhudhuria mechi? Huwa nakubaliana na hoja za msingi aziletazo Mwanakijiji lakini sio hii...Mimi sipendi kufata upepo...Mzee Lunyungu acha 'kulialia'!
Hivi tulitegemea kuwa JK alale uvunguni kule Ikulu kwa siku saba?
Wakuu this is the 21st cetury, life MUST go on.
Gwakisa, hapa tunazungumzia Rais, kiongozi mkuu wa nchi. And being a leader entails role modelling, anatakiwa aoneshe mfano. Hivi watoto na ndugu wakaribu wa marehemu kawawa wamemchukuliaje mkuu wetu kwenda kushangilia hadharani kwa furaha kubwa siku chache tu baada ya mtu anayedai kuwa alikuwa muhimu sana kufariki, na kuutangazia uma wiki ya maombolezo?.
Jamani ndo maana kunatakiwa kuwe na delegetion of responsibilities, angeenda waziri wa michezo, isingeleta muonekano mbaya na kuondoa ile mantiki nzima ya kuomboleza.
acheni ujinga kama Kawawa amekufa so what shughuli za kitaifa zisimame na wanamichezo vipi hawahitaji support yake! Muende mkalale muache topic zisizo na miguu!Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. Hivi alishindwa hata kujibanza ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
Hivi tulitegemea kuwa JK alale uvunguni kule Ikulu kwa siku saba?
Wakuu this is the 21st cetury, life MUST go on.
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
uko sawa kabisa ndugu kidatu,kufa amekufa hatorudi huyo,maisha yanaenda mbele,iliyobaki tumuombee dua kwa mwenyezi mungu amlaze mahali pama peponi amin,je kama fainali za kombe la dunia zinaendelea kuchezwa ghafla kafariki sepp blater ambae ni rais wa fifa je fainali za mwaka huo zitafutwa au zitasimamishwa au watasimama kwa dakika 1 na soka litaendelea kama kawa,acheni kukosoa kila kitu,kama mna chuki binafsi semeni au wivu?100% ni upuuzi kumshutumu JK kwenda mpirani. Ndiyo Kawawa kafariki, JK kama mkuu wa serikali amefanya kila awezalo kumuenzi marehemu kawawa, kama vile kutoa siku saba za maombolezo, kushusha bendera nusu mlingoti, kupiga mizinga wakati wa mazishi nk. Na ileweke kwamba kifo cha mtu mmoja katika jamii hakiwezi kufanya shughuli zisimame, maisha yanatakiwa yaendelee kama kawaida. Kusimamisha shughuli kamwe hakutamfufua aliyekufa. Amekufa na tumemzika kwa heshima zote full stop. Sasa MMJ ulitaka maduka, mahospitali, magenge, store za bia, maofisi yote yafungwe ndiyo ujue kweli tunaombeleza kifo cha Kawawa?.