William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Inaonyesha wengi humu aidha hamjui maana ya msiba wa kitaifa au ndio ule msemo wa ukipenda chongo huona kengeza. Hivi mfano ile landslide/ mudslide ya Brazil iliyoclaim 60 human lives imeitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa na will be mourned in 3 days, unataka kuniambia rais wa Brazil kwenda kuangalia mechi kipindi hicho ni sahihi? Hivi mlikuwa wapi wakati wa msiba wa mwalimu? Harusi ziliahirishwa, mechi kama hizi hata kuchezwa ilikuwa hakuna,baa zilikuwa kimyaaaa! Mnataka kuniambia leo hii God forbid Cyril Ramaphosa wa Afrika kusini akifa, after say 2 days Zuma anaweza kwenda kuangalia mpira.
Anywayz maybe Kawawa was not that important, lakini je kulikuwa na haja gani kutangaza msiba wa kitaifa?
Tuacheni ushabiki, hapa mkulu amechemka tena big tyme.
- Sometimes JF bwana huwa sielewi, jamani tofauti ya Rais kwenda huko au kutokwenda inaweza kuwa ni nini hasa?
- Hii nji tumeliwa na tukaeni mkao wa kula tu, ndio kwanza Rostam amenunua haki zote za Star TV na huku Lowassa anakuja na Raido station pamoja na TV ya ABC, eti wananunua hizo media outlets za nini ni kwa sababu wamegundua kwamba watatawala siasa zetu for a very long time to come in a wake of all this kuna cha ajabu tena Tanzania?
Respect.
FMEs!
acheni ujinga kama Kawawa amekufa so what shughuli za kitaifa zisimame na wanamichezo vipi hawahitaji support yake! Muende mkalale muache topic zisizo na miguu!
Sasa naanza kuelewa iliwezekanaje Jakaya Mrisho Kikwete aliweza kuchaguliwa Raisi na asilimia zaidi 80% ya watanzania mwaka 2005 na huenda akachaguliwa tena 2010. Watu wasioelewa hata maana ya maombolezo ya kitaifa watawezaje kufikiria hata kumchagua kiongozi bora. Ni kweli Marehemu Rashidi Mfaume Kawawa tungeweza kabisa kuamua kumzika asubuhi na tukaendelea na shughuli zetu kama kawaida mchana. Labda watu wangetushangaa lakini kama Taifa tungekuwa na haki kabisa kuamua iwe hivyo kumuenzi kama mchapa kazi na kudai life has to go on!
Lakini tunapotangazia dunia nzima kuwa taifa liko kwenye maombolezo ya siku saba, uamuzi wetu huo lazima uheshimiwe. Ni mataifa mangapi yalilazimika kuhairisha mipango yao katika wiki hiyo ili yatupe muda wa kuomboleza kifo cha simba wa vita. Ni mambo mangapi yenye faida kubwa kwa taifa ilibidi yasifanyike kwa sababu Raisi wetu alitangaza maombolezo ya siku saba. Je, ni kweli tunajua maana ya National Day of mourning kwani kuna watu humu eti wanatetea huu upunguani wa wazi. Ni hawa hawa watanzania wenzetu wanaoshabikia upuuzi hata kwa mambo muhimu.
Kwa nini Raisi hakunyamaza tu asitangaze maombolezo ya siku kadhaa ?
Tatizo lenu wengi mliopo humu lolote atakalofanya muungwana mnaona ni zero kabisa,sidhani kama mnania nzuri na nchi yetu.katika threads zote hii ndo imeniacha hoi, eti rais anaonekana amefanya kosa eti tu kwenda mpirani siku ya msiba.....michezo ni sehem ya kujifariji vilevile, sasa sijui mlitaka afanyaje.afu mnajiita great thinkers.
[/FONT][/FONT]Mourning is the state of grief which many people enter into after the death of a loved one. [FONT=arial,helvetica,sans-serif]Mourning is "Grief gone public". Taking our internal experience of grief and expressing it outside of ourselves. [/FONT][FONT=arial,helvetica,sans-serif]
- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!
1. Mourning is the state of grief which many people enter into after the death of a loved one. [FONT=arial,helvetica,sans-serif]
2. Mourning is "Grief gone public".Taking our internal experience of grief and expressing it outside of ourselves. [/FONT]
- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!
Respect.
FMEs!
Kuna mchezaji hapa Bongo alienda uwanjani kukipiga huku babake akiwa bado hajazikwa. Yupo pia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake alicheza akiwa msibani. Huenda hili ni muendelezo tu.we babako akifa then within 2 days toka umzike tukuone bar umeshika fimbo ya kuchezea pool unadhani tutakuelewa??in simple terms hatuna rais serious....
Tatizo lenu wengi mliopo humu lolote atakalofanya muungwana mnaona ni zero kabisa,sidhani kama mnania nzuri na nchi yetu.katika threads zote hii ndo imeniacha hoi, eti rais anaonekana amefanya kosa eti tu kwenda mpirani siku ya msiba.....michezo ni sehem ya kujifariji vilevile, sasa sijui mlitaka afanyaje.afu mnajiita great thinkers.
Mwanakijiji na wanaomsupport wanadai kitendo cha JK kwenda uwanjani ni kama alikua anastarehe wakati kuna maombolezo.- Wakuu mbona tunazidi ku-dance tu, now what this meaning has anything to do na kwenda kuangalia mpira kwa Rais? I do not get it!
Respect.
FMEs!
Nilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
Duuh!Kuna chuki zingine too much,maana huyo mwanakijiji amemchukia Kikwete kiasi kwamba kila anachokifanya Kikiwete ni baya na la kijinga!
Mwanakijiji na wanaomsupport wanadai kitendo cha JK kwenda uwanjani ni kama alikua anastarehe wakati kuna maombolezo.