- As per who? Rais anayefuata baada ya Mkapa lazima atoke visiwani, Mkapa aliuliza as per who? Hakukuwa na majibu, sasa here we are again! tunazunguka pale pale kila siku!
Respect.
FMEs!
mtu akisoma hii thread na baadhi ya maoni ya watu na akijua kuwa humu ndani mnajiita great thinkers atacheka sana kama me navyovunjika mbavu hapa...Ndo maana TZ hatuendelei, vichwa vyetu vimejaa maji, mawazo finyu na akili ndogo sana.
mtu akisoma hii thread na baadhi ya maoni ya watu na akijua kuwa humu ndani mnajiita great thinkers atacheka sana kama me navyovunjika mbavu hapa...Ndo maana TZ hatuendelei, vichwa vyetu vimejaa maji, mawazo finyu na akili ndogo sana.
- Maombolezo ya taifa hayajawahi kumfanya Rais akawa off duty kuelewa hili ni common sense tu!
Respect.
[/SIZE]
FMEs!
Swali lako linazua maswali mengine mengi kuhusu vitu ambavyo tunavifanya kwa kadri ya mazoea au taratibu/mila zetu hata kama hazikuandikwa.
1. Mfano tunazika ndugu na viongozi wetu as per who or what guidelines?
2. Watu walisimama uwanjani dakika moja as per who? Au wachezaji walifunga vitambaa mikononi as per who?
3. Rais alitangaza maombolezo ya siku 7 kwa Kawawa na Mkapa alitangaza mwezi mzima kwa Nyerere as per who?
Kwa hiyo kuna mambo mengi ambayo tunayafanya kwa kuongozwa na busara. Hata ukubwa wa baraza la mawaziri kwa Tz unategemea busara ya Rais. Akiamua kuwa kipofu ndo hapo unakuta bunge zima linaingia kwenye baraza la mawaziri.
Wacheni kupiga kelele kwani ndani ya JF kuna wataalam kibao na kama tunataka ianzwishwe public tv ambayo iko independent tunaweza tukaifanya kuwa public company to kafloat shares na benki zipo. Sipendi tabia ya kulalama aidha tuchukue hatua au tunyamaze vinginevyo tutabaki kuwa professional complainers ltdis it star or Channel 10?
....KAMA MAOMBOLEZO HAYAJAWAHI KUMFANYA RAIS AWE OFF DUTY,MAANA YAKE RAIS ALIKUWA ANAENDELEA NA KAZE.JE HAKUKUWA NA KAZI YA KUFANYA HADI AAMUE KWENDA KWENYE MPIRA? Lack of common sense.
- Kwenda mpirani ni part ya kazi anazopangiwa Rais na hawezi kukataa.
Respect.
FMEs!
Mkuu, comment yako imefanya nitabasamu kwa nguvu maana jana tulikuwa tukibishana na mtu kuhusu topic hii naye akasema yale yote unayoyasema wewe humu! Conclusion ni kwamba mashabiki wa mpira ambao mpira uko kwenye damu si rahisi kuona kasoro iliyopo!
Ikiwa Rais atakubali kila kazi anayopangiwa then we are in trouble! Wakati mwingine wasaidizi humpangia jambo assuming kwamba atakubali lakini yeye anayo haki ya kuangalia kazi yenyewe na anaweza kuamua vinginevyo.
Tukubaliane tu kwamba Rais alikwenda si kwa sababu anaipenda kazi ya kuangalia mpira ila kwa sababu ni mpenzi wa michezo mwenye nia ya kutaka kuendeleza michezo nchini mwetu na ameishadhihirisha hivyo kwa kufanya mambo kadha wa kadhaa ku-boost mpira uliokuwa umedorora, na michezo mingine pia.
Mkuu FMES,
Sometimes your arrogance startles! Hakuna mahali niliposoma uliposolewa ama hoja yako kupingwa na kukubali! There are people who know better/more than you can imagine. Anyway peace! Pamoja na ubishi wako naiheshimu michango yako!
sasa mwanakijiji kuna kipindi unanifanya nishindwe kukuelewa!........too much complaints bwanaNilidhania taifa liko kwenye maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na muasisi wa taifa hili kwa siku saba. Aliyetutangazia maombolezo hayo yuko mpirani kuhamasisha ushindi.. hivi alishindwa hata kujibanza Ikulu kuangalia kwenye big screen na kumtuma waziri mmoja hivi..kweli ilimpasa kwenda?
- Ninasimamia hoja yangu ya msingi kwa hoja na sio anything else, sasa kama that is an arrogance so be it, ninasema hivi Rais kwenda mpira wa timu ya taifa wakati wa maombolezo ya taifa hakuvunja sheria, kama unaijua sheria aliyoivunja iweke hapa,
- Hizo ngonjera zako ni za kawaida kwangu hazinisumbui ila zinanipa nguvu zaidi kusimamia hoja na kutegemea kujibiwa hoja na sio viroja, kujua ni one thing tatizo ni kuwa-convince wengine hapa yaani Great Thinkers kwa hoja kwamba unajua, badala ya kutumia nguvu na michezo ya kitoto kulazimisha hoja! Huwa sikurupuki mkuu!
Wasalimie!
FMEs!
Siku moja Mmasai alifika kituo cha mabasi pale Arusha jioni huku akiwa na Mkewe.
Akawauliza watu, "Yero, hivi mtu kama nakula mali yake mwenyewe, ambayo nanunua kwa hela nyingi tu, kuna ubaya wowote?" Watu wakamjibu hapana. Jamaa akauliza mara tatu na jibu likawa hakuna ubaya.
Ghafla akaanza KUJILIA vitu vyake. Watu kuona Maasai anaanza kula uroda wake alionunua kwa mahali nyingi tu, wakaanza kumwijia juu. Yeye akawauliza:
"Khee, mimi nauliza hapa mapema, na nyinyi nyote najibu mimi hakuna ubaya."
FMes, si kuwa lazima ule kila unachopewa mezani. Kuna vingine hakuna katiba inakataza wala mwiko wowote. Ila kimila na desturi havikubaliki. Ilitosha Mmasaai aende kichakani, watu wasingelimkomalia. Ilitosha Rais apange safari wakati Chelse inacheza na angelienda kuwaangalia LIVE. Ilitosha kununua TV 100 Inches na kuwaalika washikaji wake nyumbani. Wangelifaidi vizuri tu na hakuna maneno.
Anyway, kumlaumu au kutokumlaumu Rais inategemea unaangalia ukiwa kwenye point of reference ipi.
Ni sawa na kuvaa koti la SUTI na ukachomekea.
FMES
- Labda kama hicho kifungu kingepatikana kikawekwa hapa, otherwise ni ishu ya kila mtu kuangalia katika angle yake, lakini sio kuangalia in a uniformity angle, maana hili taifa wengine hawana hata dini, na wengine hupiga muziki mzito sana siku ya msiba, wakuu tuwe considerate sometimes tupunguze ubinafsi!