Tetesi: Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( SABASABA ) kudorora tena kwa mara nyingine

Tetesi: Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( SABASABA ) kudorora tena kwa mara nyingine

Daaah hali mbaya...uchumi umetikisika
NAKUMBUKA ZAMANI SABASABA ILIKUWA SEHEMU YA MAONESHO YA BIASHARA N'A BEI ILIKUWA NAFUU,ILA SIKU HIZI SABA SABA NI SEHEMU YA KUFANYA BIASHARA....UPABDE WA BEI ZA BIDHAA BORA UKANUNUE KARIAKO TU

OVA
 
NAKUMBUKA ZAMANI SABASABA ILIKUWA SEHEMU YA MAONESHO YA BIASHARA N'A BEI ILIKUWA NAFUU,ILA SIKU HIZI SABA SABA NI SEHEMU YA KUFANYA BIASHARA....UPABDE WA BEI ZA BIDHAA BORA UKANUNUE KARIAKO TU

OVA
Yeah ni kweli kabisa mkuu
 
Yeah ni kweli kabisa mkuu
Long time nlikuwa mpenzi wa kwenda sabasaba kwenye banda la tbl..ukiaagiza bia moja unapewa mbili ofa...ukiagiza Ya pili unapewa mbili tena,ukiagiza nyingine unapewa mbili...ukifika hapo lzma utambaee mkuu
Siku hzi hakuna mambo hayoo

Ova
 
Hahahaha hali mbaya sana
 
Biashara yangu ya BURUDANI naamini kabisa Watoto wenu mtawaleta kwa ajili ya Mabembea na Michezo mbalimbali.

Ulimwengu wa sasa Watoto nao wameshika uchumi...!

Mtoto akikohoa, MZAZI UNATETEMEKA..
 
Ivi kiingilio tsh ngapi vile gettn

Mkubwa TShs. 3,000/- mtoto TShs. 1,000/- kusema Kweli ni hela nyingi sana ukingizatia kuwa kimsingi haikupaswa kuwepo na kiingilio chochote sababu wale wafanyibiashara walioko kule wameshalipia mabanda Yao , Tantrade hawatutendei haki! Basi bora hata wangefanya TShs 1,000/- Kwa Mkubwa na 500/- Kwa mtoto Walau lakini fairly inapaswa kusiwepo na kiingilio Kwa mwananchi hata kidogo!
 
Mleta mada acha uwongo, biashara pekee unayofanya labda ni kupika majungu tuu hasa hapa jf!
 
Mleta mada acha uwongo, biashara pekee unayofanya labda ni kupika majungu tuu hasa hapa jf!
Ninaweza kukutajia idadi ya matajiri wenzangu waliomo humu jf .

Halafu siku nyingine badala ya kumjadili mleta mada , jadili kilichomo ndani yake .
 
Hatari ! HALI NI MBAYA SANA ! poleni sana wafanyabiashara wa Tanzania , Ombeni Mungu sana .
 
Back
Top Bottom