Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Jana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa mke wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.

Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.

Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
 
Mkuu Sasa una muimbia rais wa FIFA......mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23]
Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza

Kiufupi mziki ni biashara mondi Simba la. Masimba yeye kajifunua Kama muimbaji wa ngono na Pombe so lazima apewe show kutokana na walipo wateja wake Kama club ,bar n.k then Kiba king yeye anajitanabaisha Kama mzee wa maadili katika jamii ndo maana yeye huwa anaalikwa shughuli muhimu za nchi.
 
'Mke wa mtu sumu' ni mfululizo wa ngono unawahusu wanaopenda ngono.
 
Jana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa make wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.

Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.

Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
The hater the fan
 
Aaahaaaaaa
 
Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza

Kiufupi mziki ni biashara mondi Simba la. Masimba yeye kajifunua Kama muimbaji wa ngono na Pombe so lazima apewe show kutokana na walipo wateja wake Kama club ,bar n.k then Kiba king yeye anajitanabaisha Kama mzee wa maadili katika jamii ndo maana yeye huwa anaalikwa shughuli muhimu za nchi.
Mondi kaperform tuzo za award za mchezaji bora wa Africa aliyochukua Mane, kaperform big brother Africa, kafanya show kwenye ufunguzi wa michuano ya Africa Afcon na hivi karibuni kachaguliwa kuperform tuzo za Trace Award itakayofanyika ufaransa
 
Back
Top Bottom