Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza

Kiufupi mziki ni biashara mondi Simba la. Masimba yeye kajifunua Kama muimbaji wa ngono na Pombe so lazima apewe show kutokana na walipo wateja wake Kama club ,bar n.k then Kiba king yeye anajitanabaisha Kama mzee wa maadili katika jamii ndo maana yeye huwa anaalikwa shughuli muhimu za nchi.
Mkuu ungekuwa mwanasanaa ungeelewa.. .. pale ilitakiwa mtu w vibes....

Refer final za Kombe la Dunia yule mdada wa mshepu mkubwa alivyoasha vibes
 
Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza

Kiufupi mziki ni biashara mondi Simba la. Masimba yeye kajifunua Kama muimbaji wa ngono na Pombe so lazima apewe show kutokana na walipo wateja wake Kama club ,bar n.k then Kiba king yeye anajitanabaisha Kama mzee wa maadili katika jamii ndo maana yeye huwa anaalikwa shughuli muhimu za nchi.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji122]
 
Jana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa mke wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.

Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.

Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kiba na Simba wapi na wapi?

Yule amekimbia Yanga kwa ujio wa Diamond Platnumz ,ameogopa.
 
Huwezi kuangalia hadhira bila fanani Kama unaimba ngono na Pombe lazima ufanye show club,bar, n.k Ila Kama unaimba Kazi nzuri za watu waliostaharabika Basi Alikiba Kama fanani muache aokote maokoto
Hajaokota chochote Ni kwamba aliomba mwenyewe kuimba ndipo akapewa dakik tatu tu
 
Back
Top Bottom