Huwezi kuangalia hadhira bila fanani Kama unaimba ngono na Pombe lazima ufanye show club,bar, n.k Ila Kama unaimba Kazi nzuri za watu waliostaharabika Basi Alikiba Kama fanani muache aokote maokotoAngalia hadhira inataka nn

Mkuu Sasa una muimbia rais wa FIFA......mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23]Huwezi kuangalia hadhira bila fanani Kama unaimba ngono na Pombe lazima ufanye show club,bar, n.k Ila Kama unaimba Kazi nzuri za watu waliostaharabika Basi Alikiba Kama fanani muache aokote maokoto
Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuizaMkuu Sasa una muimbia rais wa FIFA......mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23]
'Mke wa mtu sumu' ni mfululizo wa ngono unawahusu wanaopenda ngono.Yah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza
Kiufupi mziki ni biashara mondi Simba la. Masimba yeye kajifunua Kama muimbaji wa ngono na Pombe so lazima apewe show kutokana na walipo wateja wake Kama club ,bar n.k then Kiba king yeye anajitanabaisha Kama mzee wa maadili katika jamii ndo maana yeye huwa anaalikwa shughuli muhimu za nchi.
The hater the fanJana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa make wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.
Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.
Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
Simba lamasimba Dangote we zombie'Mke wa mtu sumu' ni mfululizo wa ngono unawahusu wanaopenda ngono.
πππ πππUNAUMIA ukiwa wapi!?π π π
AaahaaaaaaJana nimecheka sana yaani kuna Rais wa FIFA, CAF na legendary Wenger then anakuja msanii Alikiba anaimba wimbo wa make wa mtu sumu! [emoji23][emoji23] Ama kweli uongozi wa Simba kama alivyosema rage ni Mbumbumbu.
Haileti sense kwenye sherehe kubwa unaimba wimbo ule, ni kama unawafokea viongozi, na mashabiki, that's why nilitoka uwanjani kwa hasira sana.
Pale ilibidi isikike neno "We zombie" Simba la Simba chibu dangote "Shu", ama kweli Pengo la Diamond na Harmonize limeonekana jana kwa Mkapa.
Kiba hajuagi kuperform kabisa ni wakati wa Simba kuangalia msanii gani anafaa zaidi kuliko kuangalia eti msanii yupi ni shabiki wetuAli Kiba alibebeshwa mzigo mzito sana. Nawatupia lawama Simba SC na CAF. Ule ni uonevu kwa Kiba. Level yake ni mechi ya Ihefu na Yanga.
π€£π€£π€£π€£π€£ wadau mnaniacha hoi kwa kweliMkuu Sasa una muimbia rais wa FIFA......mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23]
Mondi kaperform tuzo za award za mchezaji bora wa Africa aliyochukua Mane, kaperform big brother Africa, kafanya show kwenye ufunguzi wa michuano ya Africa Afcon na hivi karibuni kachaguliwa kuperform tuzo za Trace Award itakayofanyika ufaransaYah mke wa Mtu ni sumu kweli then rais wa FIFA sidhani Kama anaweza kujali kuhusu mambo ya Nani anatumbuiza