reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Ishu sio nyimbo ,ishu ni why Ali Kiba?!!na sio msanii wao!!?Ndio kiherehere cha kukurupuka haya sasa walaumuni CAF. Mmezoea kulalamika.
Halafu why Simba na sio timu zingine?!
Inshort wameumia Sanaa wapinzani baasi tu hawana namna