Maoni: Alikiba hakuendana na ukubwa wa sherehe

Ndio kiherehere cha kukurupuka haya sasa walaumuni CAF. Mmezoea kulalamika.
Ishu sio nyimbo ,ishu ni why Ali Kiba?!!na sio msanii wao!!?
Halafu why Simba na sio timu zingine?!
Inshort wameumia Sanaa wapinzani baasi tu hawana namna
 
Aliyekurupuka ni wewe kumlaumu Kiba wakati choice ya nyimbo iliombwa na CAF. Hujaelewa hata nilichoandika. Poor soul.
Una uhakika kweli Caf Ndio wameuchagua huo wimbo?
 
Yes according to Ali Kiba.Una ushahidi wa kupinga maneno yake.
 
Mondi kaperform tuzo za award za mchezaji bora wa Africa aliyochukua Mane, kaperform big brother Africa, kafanya show kwenye ufunguzi wa michuano ya Africa Afcon na hivi karibuni kachaguliwa kuperform tuzo za Trace Award itakayofanyika ufaransa

Trace simefanyika Rwanda na kashaperfom (kachukua tuzo ya best East African artist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…