Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Mjinga sana huyu achana naye!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Lisu walivyokuwa wanatoa maoni tofauti na akina jiwe walivyoshambuliwa mbona ulikenua meno?Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Mda wa kuzungumza umekwisha,kazi iendelee.Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Haujui darasa linarudishaje mkopo? Seriously!!!Wakorogane vizuri ndonchi itapona!! Tena gogofupi asikae kimya aizibiti sirkali kwanini inakopakopa kujenga madarasa? darasa linazalishaje hela ya kulipa madeni!! Tens wanatia hadi tailizi mikwangu hats sakafu sins nirafu!!!
Kilamtu asimamie mhimili wake vizuri bado mahakama inatakiwa juaji mkuu nae amzingue chifu ili tukae kushoto kulia buladifuu!!
Mfarakane mtengane na mgombane chama kipasuke pwaaaaaah!! Hapo nchi itachangamka sasa.
Tunaomba washauri wa gogofupi wamshauri chifu aitwe kamati ya maadili akajieleze kwanini anabishana na gogofupi!!
Hagombei tena Uspika na alitamka mahali fulani.Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala.
Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa ufahamu.
Hakuna mahali spika ametoka akaikosoa serikali nje ya utaratibu hapa mkuu amechemka Ukisoma zile kanuni kule bungeni utaona kabisa wamepewa protection kusema jambo lolote dhidi ya serikali ila sio nje ya bunge.
Hivyo basi Kauli ya Spika kwa serikali nje ya bunge ni kitendo uwenda kitaugharimu U spika wake muda wowote 2022. Stay tuned
Mbona hakuwahi kusema kwenye awamu iliyopita..Kulikuwa na ugumu gani wa kuongea Hilo swala na uongozi bila kadamnasi..Mhe. Job hana cha kupoteza, pamoja na kuwa ni mwanachama wa chama kinachounda serikali lakini anasimamia muhimili unaojitegemea.
Ndio maana #KatibaMpya ni muhimu ili muhimili wa bunge ujitegemee. Tukisema muhimili wa bunge ukae kimya kwa sababu za kichama tutakuwa hatuendelei.
Kwa hiyo Ndugai kupishana na mwenyekiti wake wa chama na amiri jeshi mkuu hadharani unaona sawa eti!..Lini ulimsikia akiinua mdomo wake kumpinga baba Jesca..au na wewe unajitoa ufahamu..kwanza yeye ni mkuu wa muhimili na mjumbe wa halmashauri kuu ya chama chake Kama sijakosea..anauwezo wa kumpigia mama simu moja kwa moja na mama akaongea naye..alishindwa nini kuwasiliana na viongozi wenzanke ndani ya serikali..kabla hajaja hadharani kulalamika Kama akina Mbatia na wenzake wa upinzani....na alienda mbele akasema 2025 tuchague mikopo au..hapa inaonesha aidha ana ajenda yake ya 2025.. na wenzake Sasa wanaanza kutafuta umaarufu kwa wananchi..Sijaona kosa la Ndugai
Kwanza Naona Bado hajaongea
Sema wewe sasa darasa pale shule shikizi linazalishaje pesa ya kulipa deniHaujui darasa linarudishaje mkopo? Seriously!!!
Naunga mkono hojaMh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala.
Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa ufahamu.
Hakuna mahali spika ametoka akaikosoa serikali nje ya utaratibu hapa mkuu amechemka Ukisoma zile kanuni kule bungeni utaona kabisa wamepewa protection kusema jambo lolote dhidi ya serikali ila sio nje ya bunge.
Hivyo basi Kauli ya Spika kwa serikali nje ya bunge ni kitendo uwenda kitaugharimu U spika wake muda wowote 2022. Stay tuned
Litatengeneza wataalamu ambao, wataleta kodi na pia wataajiri watu Mkuu....hizi ni chache tuu.Sema wewe sasa darasa pale shule shikizi linazalishaje pesa ya kulipa deni
Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Nyie watu sijui mmekula nini, yaani mnawaza utafikiri hamna ubongo, bunge sio rubber stamp ya watawala, kukosoa ni muhimu na ndio inatakiwa iwe hivyo, huyo Ndugai ni culture hiyo hiyo ya CCM ya kinafiki ndio maana kaomba msamahaMh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.