sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nipo tayari kusahishwa,
Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila
1. Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya bara na znz kwasababu ya muungano. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi, ukurugenzi, mawaziri, n.k. pia 21% za ajira ni zao, ni wazi muungano unapigiwa kelele ila uhalisia ndio huu.
2. Wachaga - msisitizo wanaowekea elimu, biashara na kushirikiana ni ni desturi yao kwa siku nyingi, kila mwaka unapoisha hurudi vijinini kwao, foleni ya magari huwa ni ndefu sana, hakika wana umoja.
3. Wasukuma - ndio wanaongoza kwa idadi kubwa, penye wingi huu kuna makundi nayo yana maendeleo.
4. Wakinga - Ni kabila dogo lakini spidi wanayokuja nayo ni ya kutisha, hawa ki elimu wapo chini tofauti na makundi mengine, wao mtani wao ni biashara tu, kwenye biashara kwao ni kama kipaji.
Niishie hapa.