sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
umimi 😂Hili kama unasema ukweli hivi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umimi 😂Hili kama unasema ukweli hivi..
Pia wakinga ukija kwenye biashara hawataki watu wengine waendelee. Alafu ni washirikana hatari na waongo sanaWanamaendeleo kwasababu hawana umimi.
Wana desturi ya kubebana na kunyanyuana pindi wanapoona mwenzao hayupo vizuri.
Wanaile ya kusema "mwenzao anapoonekana ni masikini basi alitiaa aibu kabila/jamii yao.
Njoo kwa wenzangu na Mimi wahehe sasa, utasikia nimsaidie ili aje anipite utajiri!!
Mhehe anasikia raha anapoona ndugu zake masikini halafu yeye peke yake ndio mwenye hela.
Jwa awamu hii ya sita tunakubaliana na wewePolisi wapo wengi tu, jeshini wapo pia, ukifatilia vitengo vingi vya mashirika mengi huwakosi kwenye position za juu
Ni tangu zamani mkuu, wana asilimia kadhaa kwenye muungano, hawa sio wenzakoJwa awamu hii ya sita tunakubaliana na wewe
Ukabila hauna faida labda kutambika-JK Nyerere.
Mkuu, ukabila uko wapi hapa?? hizi ni tathmini na sio ukabila.Mods futeni huu uzi, haya mambo ya ukabila sio mazuri hata kama ni kweli, inabidi yaachee yalivyo.
Nakubaliana na wewe japo wachaga wa siku hizi ile spirt ya kupambana sio kama wale wa zamaniWachaga ndio wanaongoza huo ndio ukweli.
Utakuwa una asili ya kiarabu wewe.Nipo tayari kusahishwa,
Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila
1. Watu wenye asili ya waarabu / wahindi,..Kina Mo, Rostam,
2.Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya pande mbili. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi, ukurugenzi, mawaziri, n.k. pia 21% za ajira ni zao, ni wazi muungano unapigiwa kelele ila uhalisia ndio huu.
3. Wachaga - msisitizo wanaowekea elimu, biashara na kushirikiana ni ni desturi yao kwa siku nyingi, kila mwaka unapoisha hurudi vijinini kwao, foleni ya magari huwa ni ndefu sana, hakika wana umoja.
4. Wasukuma - ndio wanaongoza kwa idadi kubwa, penye wingi huu kuna makundi nayo yana maendeleo.
5. Wakinga - Ni kabila dogo lakini spidi wanayokuja nayo ni ya kutisha, hawa ki elimu wapo chini tofauti na makundi mengine, wao mtani wao ni biashara tu, kwenye biashara kwao ni kama kipaji.
Niishie hapa.
Zamani wachaga na wahaya walikuwa ni kundi kubwa sana lenye watu walioelimika, hii iliwapa fursa ya kuajirika sana kuzidi makabila mengine.Na
Nakubaliana na wewe japo wachaga wa siku hizi ile spirt ya kupambana sio kama wale wa zamani
kuna tija km una wivu wa maendeleo na ukaiga kile wanachofanya. Si dhambi. Yako mengi mazuri wanafanya mfano kushirikiana na kuwezeshana kiuchumi.Kujadili na kuyapima makabila hakuna tija yeyote.
Hakuna cha wivu wala nini, itabaki kuwa upuuzi tu.kuna tija km una wivu wa maendeleo...
Hawa nao wanapatikana Yeah ni kabila la wapiBogus .... Waluguru inakuwaje Hawapo.