Maoni: Hofu yangu kuhusu label ya Wasafi, Diamond, Harmonize na Raymond ni kama ‘mtu mmoja’

Wadau wametililika vizuri tu hapo juu ni juu yao (wcb) kulifanyia kazi hili swala nakusema ukweli kabisa Harmonize ni kopi ya DIAMOND,lakini Raymond bado hajaingia sana kwa DIAMOND japo nae anamuelekeo huo nyimbo inayofuata ajitahidi kukwepa kujifananisha na bosi wake au kama bosi ndio anataka wafanane nae basi achukue huu ujumbe wa kuwatofautisha kila mmoja awe na ladha yake.Najua Mavoko analadha yake asiiache akajiingiza kwenye mkumbo wa Harmonize.
 
Tushawazoea nyie ata kipindi domo anaanza mlitabiri sana kufulia kwake lkn mpk leo ypo
Mkuu umelewa team yaani hata panapo tatizo unakua ngumu kukosoa, by the way me ni shabiki wa Diamond na muziki mzuri, na ninapenda mziki wetu uwakilishwe na wasanii wengi sio Mondi tu pekee!
 
Ushauri mzuri sana mkuu big up sana,binafsi nashindwa kutofautisha kati ya diamond na harmonies.dangote fanyia kazi huu Ushauri.
 
Ila reymond ana sound tofauti haujastukia yule harmonizer ndo anaiga kila kitu yaan hadi kero
 
INASEMEKANA LAKINI(soudy brown's voice) dogo raymond ndo mwandishi wa nyimbo nyingi pale WCB.....
Wcb kama huwezi kuandika nyimbo hawakupokei kila mtu ana andika pale
 
Nafurahia vijana wanavyomuaddress dimondi hata ka issue hazijakaa sawa.
Angekuwa Kiba keshatukanwa
Get Money Earn#Respect
Kwani lazima kumtaja KIBA?..acha kuweweseka cheza ndani ya mada usije haribu majadala.
 
Mambo yatabadilika tuendelee kumtia moyo japo kwa hili Aloanza nalo.
 
Tushawazoea nyie ata kipindi domo anaanza mlitabiri sana kufulia kwake lkn mpk leo ypo
Kabisa kaka.. Unajua watu wanakarr.. At hip hop au rnb yy kaamua kufanya ivo na wengne wachukue wa hip hop.. Afu mbna iko ivo kote mfno... Lil kesh kwa YNBL ya olamide mbna alipokelewa kwa ukubwa wa jina la olamide... Kwann uangaike kufanya biashara isiyo na faida ihali ipi rahisi kbs unayoweza pata pesa kirahisi.. Muulize madee na nay wa mitego.. Bongoflava ndo pesa iliyopo so ctashangaa watu kuongea bila kufkiria na ata uyo muadhili wa saut akufkiria vzr yy alipata angle yake ya kutetea mada ya muzk tofaut wa hip hop na rnb wakat diamond anaangalia biashara iko ap.. Nakumbuka watu walisemaga diamond nyimbo za mapenz tu anachuja muda c mrefu mara huu mwaka wake wa mwisho yako wapi?.. Mapenz ndo watu wanataka
 
duh,mkuu hii ID yako nlipoiona nimejikuta nacheka na kuumia kwa wakati mmoja aise!hatari sn
wanakuita ata kwenye interview lkn?
Nina kampuni, sijawahi kufanya interview ila nafanyisha watu interview, nachukua mwisho 3.4 gpa!
 
Mambo yatabadilika tuendelee kumtia moyo japo kwa hili Aloanza nalo.
MWANDISHI AMEPOTEZA TEST YA SIKIO WHICH MEANS KILA ANACHOSKIA KINAFANANA KWAKUA WASANII HUSIKA WANAZUNGUKA PAMOJA,WASINGEKUA PAMOJA ANGEONA HAWAFANANI,YET MAVOKO ANAENDA WCB THEN AMEMWONA PIA ANA FANANA NA DIAMOND,SWALI JIULIZE ULIFANYA UTAFITI KABLA YA KUANDIKA AU ULIANDIKA UNDER INFLUENCE YA KILEVI???, UMEZUNGUMZIA WHY ASIWEKEZE TUPATE TEST MPYA YA RnB, Mhadhiri SERIUOSLY HUJUI GEMU YA MZIKI INATAKA NINI,IMEFIKA WAPI NA INAELEKEA WAPI, TUNA WASANII WANAOSIMAMIWA NA THT (Barnaba,Ruby etc) AMBAO WANA ACCESS KUBWA NA KITUO CHA REDIO AMBACHO NDIO KINA ENDESHA ''BONGO FLEVA 100%'' ULISHAJIULIZA WHY WAMESHINDWA KUSHAWISH WANANCHI WAKAPATA FULL ACCESS YA KUWA ACCEPTED?? (namaanisha kukubalika asilimia 80-100% then why wamebaki as underground) UTAFITI WAKO USIEGEMEE UNACHOTAMANI KIWE,BALI ULITIZAME JAMBO LILIVYO KWA UHALISIA WAKE, UKIWEKA ALENACHA NYINGI MAANA YAKE HUJUI ULICHOKUA UNATAKA KUKIELEZA, SOKO LA MZIKI TANZANIA KWA SASA HALINA NAFASI KWA RnB UKITAKA ULE HASARA YA WAZI BASI,WEKEZA KTK RnB, KWA hip hop NAUNGA MKONO ILA SIO RnB, KUHUSU MAWAZO KUFANANA, HIVI KUNA WASANII WA KUIMBA TANZANIA WANAIMBA VITU HAVIFANANI??? HEBU FANYA RESERCH TOKA 2015 -2016 IDADI YA NYIMBO ZILIZOTOKA NA ZIKAWA NA UJUMBE TOFAUTI USIO INGILIANA,UTAJUA KWAMBA ULIANDIKA MAKALA UKIWA NA MTIAZAMO MGANDO,HUKUJIPA NAFASI YA KUTIZAMA UPANDE WA PILI, UNAPOZUNGUMZA UWEKEZAJI HUZUNGUMZII KUTUPA HELA SHIMONI,UNAZUNGUMZIA KUWEKA HELA KTK KITU KITAKACHOREJESHA FAIDA,KESHO UTAKUJA KUSEMA ANGEWEKEZA KWA KINA SAIDA KAROLI KWA KUWA MAWAZO YAKO YANA RAHISISHA JAMBO GUMU LIWE JEPESI KICHWANI SI KIUTENDAJI, NAMALIZIA KWA KUSEMA UNAFAHAM FIKA GEMU YA MZIKI TANZANIA SIO BAHATI NASIBU, SIO KITU CHA KIRAHISI RAHISI KAMA INAVYOTAKA KUAMINISHWA, RICH MAVOKO, RAYMOND, HARMONIZE & DIAMOND NI WASANII WENYE TEST TOFAUTI RUDI KAA CHINI WASKIZE TENA, KILA MMOJA KUNA ANALOWEZA MWINGINE HALIWEZI, SAFISHA SKIO KAA SKIZA NYIMBO ZAO UPYA,MHANDISI HII KAMA NI RESEARCH NA MIMI NI MSIMAMIZI WAKO BASI NTASEMA NILIKOSEA ULIPOLETA PROPOSAL,ULICHOFANYA NI KUANDIKA BILA KUFANYA RESEARCH HALISI,INGESAIDIA WEWE KUJA NA VITHIBITISHI AMBAVYO MTU AKI REJEA ANAJUA YES HII KWELI....
 
MWANDISHI AMEPOTEZA TEST YA SIKIO WHICH MEANS KILA ANACHOSKIA KINAFANANA KWAKUA WASANII HUSIKA WANAZUNGUKA PAMOJA,WASINGEKUA PAMOJA ANGEONA HAWAFANANI,YET MAVOKO ANAENDA WCB THEN AMEMWONA PIA ANA FANANA NA DIAMOND,SWALI JIULIZE ULIFANYA UTAFITI KABLA YA KUANDIKA AU ULIANDIKA UNDER INFLUENCE YA KILEVI???, UMEZUNGUMZIA WHY ASIWEKEZE TUPATE TEST MPYA YA RnB, Mhadhiri SERIUOSLY HUJUI GEMU YA MZIKI INATAKA NINI,IMEFIKA WAPI NA INAELEKEA WAPI, TUNA WASANII WANAOSIMAMIWA NA THT (Barnaba,Ruby etc) AMBAO WANA ACCESS KUBWA NA KITUO CHA REDIO AMBACHO NDIO KINA ENDESHA ''BONGO FLEVA 100%'' ULISHAJIULIZA WHY WAMESHINDWA KUSHAWISH WANANCHI WAKAPATA FULL ACCESS YA KUWA ACCEPTED?? (namaanisha kukubalika asilimia 80-100% then why wamebaki as underground) UTAFITI WAKO USIEGEMEE UNACHOTAMANI KIWE,BALI ULITIZAME JAMBO LILIVYO KWA UHALISIA WAKE, UKIWEKA ALENACHA NYINGI MAANA YAKE HUJUI ULICHOKUA UNATAKA KUKIELEZA, SOKO LA MZIKI TANZANIA KWA SASA HALINA NAFASI KWA RnB UKITAKA ULE HASARA YA WAZI BASI,WEKEZA KTK RnB, KWA hip hop NAUNGA MKONO ILA SIO RnB, KUHUSU MAWAZO KUFANANA, HIVI KUNA WASANII WA KUIMBA TANZANIA WANAIMBA VITU HAVIFANANI??? HEBU FANYA RESERCH TOKA 2015 -2016 IDADI YA NYIMBO ZILIZOTOKA NA ZIKAWA NA UJUMBE TOFAUTI USIO INGILIANA,UTAJUA KWAMBA ULIANDIKA MAKALA UKIWA NA MTIAZAMO MGANDO,HUKUJIPA NAFASI YA KUTIZAMA UPANDE WA PILI, UNAPOZUNGUMZA UWEKEZAJI HUZUNGUMZII KUTUPA HELA SHIMONI,UNAZUNGUMZIA KUWEKA HELA KTK KITU KITAKACHOREJESHA FAIDA,KESHO UTAKUJA KUSEMA ANGEWEKEZA KWA KINA SAIDA KAROLI KWA KUWA MAWAZO YAKO YANA RAHISISHA JAMBO GUMU LIWE JEPESI KICHWANI SI KIUTENDAJI, NAMALIZIA KWA KUSEMA UNAFAHAM FIKA GEMU YA MZIKI TANZANIA SIO BAHATI NA SIBU, SIO KITU CHA KIRAHISI RAHISI KAMA INAVYOTAKA KUAMINISHWA, RICH MAVOKO, RAYMOND, HARMONIZE & DIAMOND NI WASANII WENYE TEST TOFAUTI RUDI KAA CHINI WASKIZE TENA, KILA MMOJA KUNA ANALOWEZA MWINGINE HALIWEZI, SAFISHA SKIO KAA SKIZA NYIMBO ZAO UPYA,MHANDISI HII KAMA NI RESEARCH NA MIMI NI MSIMAMIZI WAKO BASI NTASEMA NILIKOSEA ULIPOLETA PROPOSAL,ULICHOFANYA NI KUANDIKA BILA KUFANYA RESEARCH HALISI,INGESAIDIA WEWE KUJA NA VITHIBITISHI AMBAVYO MTU AKI REJEA ANAJUA YES HII KWELI....
 
Dah watu mnaujua mziki aise sikutegemea hii thread ingekumbana na vichwa ka hivi..uchambuzi wako uko vizuti braza
 
Hii thread sijaianzisha mimi mkuu,mimi ni mchangiaji tu kama wewe naona unanirushia makomboramhata hivyo kila kitu kina POSITIVE EFFECT and NEGATIVE EFFECT,sio kwamba alichokizungumza mwandishi FREDY hakipo..kipo na Kichukuliwe kama Changamoto
 
N
Hii thread sijaianzisha mimi mkuu,mimi ni mchangiaji tu kama wewe naona unanirushia makomboramhata hivyo kila kitu kina POSITIVE EFFECT and NEGATIVE EFFECT,sio kwamba alichokizungumza mwandishi FREDY hakipo..kipo na Kichukuliwe kama Changamoto
Ndo mana nisema ni mapema mno... Narejea mfno wangu apo awali... Unakumbuk YMCMB karbu wote walikua narap kama wayne saiv vp... Mbna drake.. Nick.. Tyga wameweza kusimama kama brand zinazojitegemea.. Sometimes tufkirie nje ya box.. Wasanii wangap toka wametoka wanaimba mapenzi mfno diamond ila leo yako wap... Ndo baba ya bongo flava.. Japo wengi wanaumia mana ni ukwel mchungu... Muziki ni biashara na kila mtu ana strategy zake.. So look n learn... Give it some time...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…