Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC.
Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya ECOWAS kwa baadhi ya nchi za Afrika Magharibi baada ya mapinduzi kadhaa ya kijeshi katika nchi husika .
Maamuzi ya nchi wanachama wa Afrika na jumuiya ya Afrika Mashariki ni muhimu sana hasa kwa mustakabali mzima wa amani katika ukanda wa maziwa makuu ambao umeanza kutikiswa.
wakati umefika kwa nchi jumuiya ya Afrika Mashariki na umoja wa nchi za Kiafrika kuweka vikwazo vya kibiashara na Kidipolmasia ili kukomesha machafuko yanayoendelea nchini DRC ambayo ni nchi mwanachama wa Afrika.