Maoni: Kiwango cha hekima na ubora wa viongozi duniani umepungua sana

MaweSaba

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
416
Reaction score
641
Kwa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mfano

Wako wapi watu kama JK Nyerere, Rashid Kawawa, Getrude Mongella na viongozi wengine wa zamani?

Ukikaa ukasikiliza "viongozi" wa sasa unashikwa na hasira, hawana huruma, hekima, staha ya midomo.
Mfano hawa wa Tanzania wengine, wengi hawana maadili kabisa na competence. Uchawa na unproffessionalism ndio inaponza uongozi.

Tukienda kimataifa, Uingereza wamebadili prime ministers wangapi?
Kichwa cha Trump, unajiuliza walimpaje huyu jamaa Uraisi?
Museveni, Mobutu na viongozi wengi wa Africa.

Inafiia hatua watu wanaona heri mwanajeshi kama Traore ndio aongoze, inaashiria kuzorota kwa imani ya wanasiasa

Au mnasemaje wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ